Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Akisoma Majina hayo Agosti 1, 2025 ofisini kwake Katibu wa Siasa na uenezi Ccm mkoa wa Tabora Ndugu Idd Moshi Mambo ameeleza kuwa haya ndio majina ambayo yamepitishwa na Chama cha mapinduzi Ccm kwa ajili ya Wajumbe wa Chama cha mapinduzi ngazi ya kata kuwapigia kura na kumchagua mmoja kuwa Mgombea wa Udiwani katika kata yao