Majina ya Vyumba vya Guest ni Noma!!!

Eng. Smasher

JF-Expert Member
Nov 13, 2010
745
23
Mamboz ma Great Thinkers!

Haya majina ya ROOM za GUEST yananiacha hoi unaweza ukafikiria mtu kasafiri nje ya nchi kumbe yupo TZ coz wamezipa hizo room majina ya miji mikubwa ya nje ya nchi kama MANCHESTER,MADRID,LONDON,ALABAMA nk.

Hivi ni kwanini hawatumii namba kama kawaida??!!
 
Gesti hapa kwa mtogore majina yetu yana akisi mazingira..kuna majina kama cha kwanza, fasta fasta, kitu tigo, no chabo..hizo zenye majina ya mji ya majuu ni zaki sharobaro
 
Nilishawahi kukutana nazo, moja Maswa nyingine Morogoro! nilicheka lakini mwisho wa siku nikalala Nigeria hapo Maswa nyingine nililala Manchester hapo Morogoro. Ni utashi tu wa mwenye biashara na kujaribu kucheza na akili za wateja kuongeza kipato zaidi.
 
Gesti hapa kwa mtogore majina yetu yana akisi mazingira..kuna majina kama cha kwanza, fasta fasta, kitu tigo, no chabo..hizo zenye majina ya mji ya majuu ni zaki sharobaro

Du!!:A S 20:
 
PEMBA, CUF, CCM,TLP,NCCR, vile executive:LOWASSA,ROSTAM,KARAMAGI kile cha bei GHALI huitwa CHENGE,MANJI
 
Kijitonyama uzuri majina ya guest moja eti real madrid. manchester, arsenal, tottenam, leeds, new castel unaweza kuta wewe si arsenal halafu ndio kimebaki hicho tu unalala hulali?
 
kuna moja buguruni utakuta wameandika mama salma kikwete, anne makinda, mama Rwakatare, nk mi nikajua ndipo zilipo office zao kumbe ni sehemu ya kupigia mzigo
 
namba noma si unajua ukimuelekeza dem halafu upo karibu na hatu huwezi sema namba 20 ni soo ila ukisema arsenal watu wanajua unaongelea mpira kumbe umemtanguliza mtu!
 
Mamboz ma Great Thinkers!

Haya majina ya ROOM za GUEST yananiacha hoi unaweza ukafikiria mtu kasafiri nje ya nchi kumbe yupo TZ coz wamezipa hizo room majina ya miji mikubwa ya nje ya nchi kama MANCHESTER,MADRID,LONDON,ALABAMA nk.

Hivi ni kwanini hawatumii namba kama kawaida??!!

Engineer utafiti huu umeufanya ukiwa wapi? Humo humo guest? Je, shemeji anakujua jina lako unalotumia hapa JF?
 
Kijitonyama uzuri majina ya guest moja eti real madrid. manchester, arsenal, tottenam, leeds, new castel unaweza kuta wewe si arsenal halafu ndio kimebaki hicho tu unalala hulali?

silali:clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Back
Top Bottom