Mzee wangu
Kichuguu i have much respect to you. Una heshima kubwa hapa jf. Ni m1 wa senior member hapa jukwaani. Mada kama hizi kwako hazikufai. Maana kuna hatari kubwa ya kuvunjiwa heshima.
Sie tunaokujua kupitia hii jf tunakujua kwa mada zako zenye hoja na zilizoshiba elimu.
Jukwaa hili limejaa wehu. Kwa heshima yako uliyojijengea, kwa maoni yangu hapa hapakufai. Labda kama utapita kuchangia nyuzi za watu wengine.