Majina ya Timu za Taifa Afrika



Meaning of the word star
1. Noun (OBJECT IN SPACE)
very large ball of burning gas in space that is usually seen from the earth as a point of light in sky

2. Noun (FAMOUS/SUCCESSFUL PERSON)

a very famous or successful person, especially a musician, actor, or sports player.

Neno stars kwenye Taifa Stars ina Maana ipi kati ya hizi mbili?
 
Star maana yake ni nyota, yaani kitu kinachon'gaa angani. Watu maarufu huitwa star kwa maana hiyo hiyo ya nyota kuwa wanag'aa. kama nyota
 
Kwangu mimi Zambia watakuwa na wataendelea kuwa KK Eleven (Best Zambian Team waliokufa) na baada ya hapo The Mighty Zambia
 
Indomitable ni Kiingereza cha kawaida, na wala hakitumiki kwa simba tu, unaweza kusema mtu ana "indomitable courage", hii maana nyingine ya bweni bweni chanzo chake nini?.
Kiswahili halisi cha indomitable ni "wasiotawalika" au kwa maneno mengine "unsubduable" au "unconquerable." Kutokutawalika ni passive na haina maana sawa na kutoshindwa ambayo ni active. Kutawalika ni sawa na kufugwa. Ni semantics tu
 
Kwangu mimi Zambia watakuwa na wataendelea kuwa KK Eleven (Best Zambian Team waliokufa) na baada ya hapo The Mighty Zambia
KK Eleven ya akina Kalusha Bwallya walikuwa wakali sana lakini baada ya Kaunda kutolewa madarakani, matumizi ya KK nayo yakaisha. Chipolopolo ni jina zuri sana.
 
Ingekuwa n kwa amri yangu; Taifa Stars ningeeita "Watoto wa Karume (Karume Kids)," na Twiga Stars nayo nigeiita "Moyo wa Titi (The Titi Spirits)". Nina sababu ya kuchagua majina ya Karume na Titi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…