Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
Wametoa kitu nokia N8 kama wewe sio mjanja hauwezi kugundua kuwa ni ya mjomba mchina angalia juu kuna sehemu ya kuingizia pini ya mini hdmi ukiona wamebandika kilebo tu ujue hiyo sio yenyewe maana hawa jama wamejaribu kuigeza os ya n8 kabisa ukiingia kichwa kichwa umepigwa na bei zake ni laki na nusu na laki mbili wakati original inaanzia laki sita hadi 1milionKuwa makini sana unapotaka kununua simu. Jiepushe na majina haya:-
Nokla, ukiwa na pupa au haraka au usipokuwa makini utaweza kufikiri kwamba ni Nokia.
Pia siku hizi kuna simu zako ziko branded kwa jina la Nokia, vijijini wengi wanadanganywa kuwa hizo ni Nokia orijino.
Sansung, hapo ndio wanapokukoroga ili wakukamue kiulani na Samsung toy.
Pia wana Brack Belly, hii imekaa kama Black Berry, nlishangaa nlipoiona moja inabeba lain tano.
Wana brand nyingine kama Bluetooth, Science, nk (majina ya ajabu ajabu).
Simu za Mchina zote zina os moja na zinafanana kwa kila kitu kwa function zake isipokuwa makava, majina na idadi ya lain inazobeba
Hiyo ya laki 6 unayo bosi? Jama vipi tuingie chemba.....nokia N8 original inaanzia laki sita hadi 1milion
Mbo nikampuni ya siku nyingi na ilianzia ujerumani walikuwa wanatengeneza culculatorHaya masimu ya kichechniya na majina yake duh!! Kuna hili jina MBO.
Kuwa makini sana unapotaka kununua simu. Jiepushe na majina haya:-
Nokla, ukiwa na pupa au haraka au usipokuwa makini utaweza kufikiri kwamba ni Nokia.
Pia siku hizi kuna simu zako ziko branded kwa jina la Nokia, vijijini wengi wanadanganywa kuwa hizo ni Nokia orijino.
Sansung, hapo ndio wanapokukoroga ili wakukamue kiulani na Samsung toy.
Pia wana Brack Belly, hii imekaa kama Black Berry, nlishangaa nlipoiona moja inabeba lain tano.
Wana brand nyingine kama Bluetooth, Science, nk (majina ya ajabu ajabu).
Simu za Mchina zote zina os moja na zinafanana kwa kila kitu kwa function zake isipokuwa makava, majina na idadi ya lain inazobeba
ukishaina simu yabeba laini zaid ya moja achana nayo
Hiyo ya laki 6 unayo bosi? Jama vipi tuingie chemba.....nokia N8 original inaanzia laki sita hadi 1milion
kuwashitaki ni ngumu mana anabadilisha herufi alafu ngumu kumkamata anafetua china wabongo unakwenda kununua china mnakutana juu kwa juu kamwe atokuonyesha kiwandani kwake utakutana nae kwa agent wake tu.Wametoa pia jamii ya iphone inafanana kila kitu ila tofauti ni jina imeandikwa PHONE badala ya iPHONE. wezisana hawa sijui kwanini makampuni hayawashitaki hawa au sheria za hati miliki za majina na makampuni zokoje
Kuwa makini sana unapotaka kununua simu. Jiepushe na majina haya:-
Nokla, ukiwa na pupa au haraka au usipokuwa makini utaweza kufikiri kwamba ni Nokia.
Pia siku hizi kuna simu zako ziko branded kwa jina la Nokia, vijijini wengi wanadanganywa kuwa hizo ni Nokia orijino.
Sansung, hapo ndio wanapokukoroga ili wakukamue kiulani na Samsung toy.
Pia wana Brack Belly, hii imekaa kama Black Berry, nlishangaa nlipoiona moja inabeba lain tano.
Wana brand nyingine kama Bluetooth, Science, nk (majina ya ajabu ajabu).
Simu za Mchina zote zina os moja na zinafanana kwa kila kitu kwa function zake isipokuwa makava, majina na idadi ya lain inazobeba
akuna atakaeepuka bidhaa ya mchina wote ni waathirika nazoHuko nyuma nimekuwa nikisoma threads nyingi zenye kuisifu China na maendeleo yake na kuwakandia US, sasa mbona mnaogopa bidhaa zao jamani?
Wachina wamekwenda shule ndio maana wanabadili jina kidooogo! lakini linakuwa ni jina tofauti kabisa, hivyo hawezi kushtakiwa.Wametoa pia jamii ya iphone inafanana kila kitu ila tofauti ni jina imeandikwa PHONE badala ya iPHONE. wezisana hawa sijui kwanini makampuni hayawashitaki hawa au sheria za hati miliki za majina na makampuni zokoje
Wakuu kuna hii Nokia mpya imetoka inaitwa Nokia N9, inagusa ngapi?? I thnk am in luv wt it..!Hiyo ya laki 6 unayo bosi? Jama vipi tuingie chemba