Mbona wana majina ya "ajabu" ajabu kama ya wateja wao? Wao si inabidi wajulikane wapokee maoni/malalamiko kwa majina halisi maana wao si wachangiaji wanapkuwa kazini au vipi. Kama Maxence Melo ni jina halisi!
Boqin
Wand
Active
Diversity
Panel
Moderator
etc etc
Yule shabiki wa chadema alienipiga mimi ban sababu nimewaita chadema genge la wahuni, na wakati huo huo mashabiki wa chadema wa humu wanatukana ccm wanaachwa ni mod yupi kati ya hao?

Mbona wana majina ya "ajabu" ajabu kama ya wateja? Wao si inabidi wajulikane wapokee maoni/malalamiko kwa majina halisi maana wao si wachangiaji wanapkuwa kazini au vipi. Kama Maxence Melo ni jina halisi!