Siamini mambo ya Waganga, kwani ni wasanii, matapeli..Kawaida ya mganga atakwambia umerogwa na mtu wako wa karibu hapa anakusudia damu yako. Nahakika na upande wa kiislam wakiwatoa majini asilimia kubwa hujiita kwa majina ya kikristo. Hapa lengo la jini kufarakanisha wenye hizi dini mbili ili achukuwe wafuasi wengi nae motoni.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kwa upande wetu waislam!mwenyezi mungu kaumba viumbe wengi sana!!na pia anatueleza hakuwaumba majini na binaadam ila wamuabudu yy!kila kiumbe wanyama binaadam majini na wengineo wanaishi maisha kama sie binaadam tunavyoishi na pia wanazaliana na majina pia hupeana!!ila kwa style yao wanatambuana jinsi muumba alivyowajaalia!kuweza kutambuana!Pamoja na kuwepo kwa usanii mwingi siku hiz kwenye makanisa mbali mbali lakini ninaamini kuwa yapo majiin/ mapepo na wengine wakiita mashetani
Ninaamini hivyo kwasababu nikiwa mdogo, kulikuwa na 'dada' zangu waliokuwa wanasumbuliwa na hayo 'mapepo' na hivyo nilijiridhisha kuwa hakukuwa na 'usanii' pale.
Nimeeleza hayo kwasababu nina swali limenitatiza kwamba wakati wa maombezi kwa hao 'dada' zangu kuna wakati muombaji alikuwa anaongea na hayo 'mapepo' na kuuliza majina yao. (Kwa wenye imani ya kikristo wananielewa hapa) mara zoote ckuwahi kuckia wakijitambulisha kwa majina ya 'kikristo' kama vile Thomas, peter, jeska , mary n.k badala yake nilisikia majina ya 'kiislam' kama juma, Asha, Sharif, n.k. wakati waliokuwa wakiombewa ni wakristo.
Kwahiyo swali langu kwako JF MEMBER je wewe uliwahi kuskia majina yenye nasaba na 'ukristo' kutoka kwa ''mapepo?"
Pia kwa wale wasio amini ikiwa mungu yupo wanazungumza nini kuhusu haya "mapepo"
Hakika Quran haikuwacha kitu hata dawa na kinga hupatikana kwenye Quran. Masheikh wengi hutumia surat za Quran mfano suratul kursi ina kinga kubwa sana. Sasa sijui upande wa wakristo wao inakuwajeSiamini mambo ya Waganga, kwani ni wasanii, matapeli..
Siku moja nilikutana Bibi mmoja alikuwa na miaka kama 89,alikuwa mkristo, katika mazungumzo yetu aliniambia Kuwa mtoto wake wa kiume anaemtegea kapata wazimu amekuwa kuchaa
Nilimuuliza sasa amechukua hatua gani, kumsuru na huo ugonjwa, alilonijibu nilishangaa, sikuweza kuamini..
Aliniambia kampeleka kwa Sheikh kusomewa, nikamuliza Je mtoto wake alipata nafuu Akanijibu ndio, tena sana..
Nikamuuliza kwanini asimpeleke kwa Mchungaji wakati yeye ni Mkristo?! Akanijibu baba angu wewe acha tu!
Nilichanganyikiwa, nilishindwa kumfahamu yule Bibi.. Labda wadau mnaweza kunieleza kwanini imekuwa vile kwa huyu Bibi
Hujapewa like hata moko kwakuwa hii ni chai mzee babaMashetani aka Majini aka Mapepo yapo yameumbwa na Mungu kama tulivyoumbwa sisi Binaadamu.
Mungu kaumba MALAIKA, MAJINI na BINAADAMU ili wamuabudu tu, na sio chengine, na viumbe wasiomuabudu Mungu amewaekea adhabu kali
Marehemu Bibi yangu alikuwa hajui kusoma wala kuandika,lakini pale Shetani aka pepo anapokuwa amepanda kichwani kwake alikuwa anaweza kuongea kiarabu fasaha kabisa..
Marehemu Baba alikuwa ana uwezo wa kumwita jini wa Bibi, alipokuwa anamwita familia nzima inatakiwa wepo, Alikuwa ni jini wa famili, chakula chake kulikuwa, Asali, muwa, manda
Yule juni alikuwa anatusalimia kwa kutuzungusha shingo, kutunyoosha mkono huku Akisema "zein, zein", baba alikuwa anamwita jini wa Bibi pale anapokuwa anataka msaada wa kitu fulani..
Jini wa Bibi alikuwa na Uwezo mkubwa Sana, jina lake lilikuwa sio la kiarabu bali ni la kiswahili wa pwani, siku moja nilimsikia akisema wapi anatoka na yeye ni nani
Nilimsikia akisema yeye ni Mkuu wa Majini katoka sehemu fulani Pemba, vile vile alikuwa anawakilisha sehemu kubwa ya ufukwe wa Afrika Mashariki yaani, Mambasa, Unguja, Pemba, Kilwa..
Sitaki kutaja jina la huyu jini, kwakweli alikuwa na Uwezo wa ajabu Sana, uwezo wakuona na kutabiri, mambo mengi sana Alikuwa na Uwezo wa kuwaadhibu Majini wengine nk..
Haya mambo yapo, nimeyashuhudia mwenyewe, hivi viumbe vimeumbwa na Mungu,..
Yale tunayoyaona Makanisani ni "usanii", "utapeli",..huwezi kumtoa jini kwa kumpiga kelele, Majini wana vyakula vyao, wana njia zao za kuwaita na wana njia zao za kuwatoa,nimeyaona haya nikiwa na umri mdogo mpaka umri wa kumaliza Chuo
Tunatakiwa tujue kuwa hivi viumbe, ni kama sisi Binaadamu, wako wabaya na Wazuri, wako wanaomcha Mungu na wanaomuasi Mungu, lakini Wengi wao ni wa ha Mungu, wanaishi maisha marefu kuliko binaadamu

Sawa ZEE LA HEKIMA vp wewe uliwahi kuckia jina la jiini likiwa la 'kikristo' mfano jose, au fanuel?Hayo majjna ya majini ni majina ya koo zao sio majina ya jini mmoja mmoja. Yapo ya koo za Kiafrika (kama mzuka, kibwengo, makata, n.k.) lakini pia zipo koo za Kiarabu (kama Sharifu, Ruhani n.k.). Yapo ya koo za kizungu pia. Unaweza kumsikia Mwafrika ambaye hajawahi kwenda shule kabisa, akieleza kwa Kiingereza kizuri kabisa mambo fulani wakati ambapo amepandisha pepo. Pepo likiondoka, hajui hata neno moja la Kiingereza.
Hivi kweli yangekuwepo, hivi Pro Pesa, kwa jinsi alivyo mvuruga Maalim na kundi lake, angepona kweli?Mashetani aka Majini aka Mapepo yapo yameumbwa na Mungu kama tulivyoumbwa sisi ...........
Nilimsikia akisema yeye ni Mkuu wa Majini katoka sehemu fulani Pemba, vile vile alikuwa anawakilisha sehemu kubwa ya ufukwe wa Afrika Mashariki yaani, Mambasa, Unguja, Pemba, Kilwa..
Kwa Mujibu wa kitabu cha Kurani Mungu hakuumba binaadamu peke yake, kaumba Malaika, Majini, Binaadamu, Wanyama na viumbe vyengine..Hivi kweli yangekuwepo, hivi Pro Pesa, kwa jinsi alivyo mvuruga Maalim na kundi lake, angepona kweli?
Sikuandika kwa kupewa "like" nimeandika kwa yale niliyoyashuhudia utotoni kwangu, "Experience" ambayo nitakwenda nayo kaburini, watu wengi wanazungumza kuhusu Majini lakini hawana "Experience" yoyote wanakwenda kwa Waganga kudanganywa..Hu
Hujapewa like hata moko kwakuwa hii ni chai mzee baba
Talawei = Taraweh, naona una matatizo baina ya herufi "R na L"Huu uzi utalowana sasa hivi kwa mate! We subiri watoke talawei.
Jini maarufu ni "MAIMUNA".