Majina ya maeneo na maana zake

Majina ya maeneo na maana zake

Lukuledi huko Ntwara aka mtwara kama sikosei ni Look ladies mzungu alikuwa akiwachungulia wadada wakibongo wakienda chota maji mtoni huku matiti yao yako wazi enzi hizoo za ukoloni. Kwa hiyo wazungu wakawa wanaitana hey Sam! Look ladies basi ikawa Lukuledi. Newala ni new well kisima kipya.
 
MaswA (MAKAO MAKUU YA WILAYA HUKO USUKUMANI WAKATI WA TANG IKIWA KOLON LA KIJERNAN LILE JENGO AU BOMA LILILOEZEKWA KWA NYASI
 
Wazanzibari njooni huku like eneo pale Zanzibar linaloitwa mchambawima kulikoni na Zanzibar waislamu
 
Wazanzibari njooni huku like eneo pale Zanzibar linaloitwa mchambawima kulikoni na Zanzibar waislamu
Hilo eneo lilikuwa linajaa manji watu walilazimika kuvua nguo ili wavuke na wangi wao maji yaliwafikia kimo cha makalio. Hapo bila shaka wawezatafakari kwanini paliitwa mchamba wima
 
Ilala Waislamu walikuwa wanakufa Sana haipiti muda msafara wa maiti ukawa unapita kwenda kuzika huku wakisali La ilaha illa Allah Muhammed asul Allah

watu wengine wasio Waislamu wakaona hayo maneno Kama wanasema Ila la ilaa la wakapaita Ilala
 
Kibirizi - Cool breeze ni sehemu ya kigoma palikuwa na upepo mwanana sana na few wazungu wakapaita Cool breeze ila waswahili wakashindwa wakaishia kupaita kibirizi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzizima - mji wenye uzima/afya (Zaramo)

Dar es salaam - nyumba ya
amani /Pepo (Arabic-Quran)

Mwananyamala- mtoto nyamaza.(Kizaramo)
Kinondoni- kwenye kinundu (Kizaramo)
Kimara- kimeisha (Kizaramo)
Kiwalani Kiwanjani- (Kizaramo)
Kibaha - kipo (Kizaramo)
Kariakoo - carrier corps (Kiingereza)
Bagamoyo- Bwaga-moyo (Kiswahili)
Ubungo - Bungo
Kunduchi -kundu uchi (Waarabu waliwakuta wenyeji wanaoga uchi maeneo hayo).Nimeisikia chanel ten kwenye kipindi wanaonyesha makaburi ya watu wa zamani yapo Kunduchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchambawima
Kibandamaiti
ngoja nikatafute maana halafu nitarudi
Hilo eneo lilikuwa linajaa manji watu walilazimika kuvua nguo ili wavuke na wangi wao maji yaliwafikia kimo cha makalio. Hapo bila shaka wawezatafakari kwanini paliitwa mchamba wima
Umejibiwa hapa lakini jamaa kanifurahisha kinoma au haujaridhika na jibu lake?
 
Back
Top Bottom