Tata ya bana
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 304
- 369
Wakuu, moja ya aim za JF ni kuelimishana, sasa naomba kila mmoja mwenye kuelewa jina la eneo na maana yake atupie humu.
Naanza mimi, Upanga iliyopo Dar es salaam ilitokana na picha ya Upanga iliyopo kwenye HQ ya JWTZ.
Tuambie na wewe yako!
Naanza mimi, Upanga iliyopo Dar es salaam ilitokana na picha ya Upanga iliyopo kwenye HQ ya JWTZ.
Tuambie na wewe yako!