Majina Ya Kukwepa Kuitika Msimu Huu

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,607
2,000
Wadau
*This is for funny*
Msimu huu wa sikukuu za Xmas na mwaka mpya kuna majina mtu akikuita usikubali kuitika hata kidogo ni bora ukimbie haraka sana.
1.Mkubwa
2.Tajiri wangu
3.Kiongozi
4.Mkurugenzi
5.Manager
6.Chief
7.Brig general
8.Honey
9.Dear nikuambie kitu
10.Mutu ya Nguvu
11.Mzee
12.Patrol
13.Mzee baba
14. Papaa
15.
16.
17.
18.
Ndugu yangu Mwana JF unashauriwa usithubutu kugeuka nyuma ukiitwa bali kimbia.
Good night!
 

chanaga

JF-Expert Member
Jan 30, 2013
343
250
Wadau
*This is for funny*
Msimu huu wa sikukuu za Xmas na mwaka mpya kuna majina mtu akikuita usikubali kuitika hata kidogo ni bora ukimbie haraka sana.
1.Mkubwa
2.Tajiri wangu
3.Kiongozi
4.Mkurugenzi
5.Manager
6.Chief
7.Brig general
8.Honey
9.Dear nikuambie kitu
10.Mutu ya Nguvu
11.Mzee
12.Patrol
13.Mzee baba
14. Papaa
15.
16.
17.
18.
Ndugu yangu Mwana JF unashauriwa usithubutu kugeuka nyuma ukiitwa bali kimbia.
Good night!
Wewe Jana tu umetoka Dodoma Leo unakua muoga kuitwa mkuu? au unapenda uitwe buzi.
 

Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
5,628
2,000
!
Mkuu unaogopa kuibiwa?! mizinga ni noma!
Na wapigaji majira Haya ya sikukuu msipoangalia ......
 

Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
5,628
2,000
Msimu huu watatumia njia yeyote kuwatoa upepo ikibidi Hata kusingizia kuuguliwa na Mtu wa karibu Au kufiwa pia!
Yani watatafuta namna yeyote ile kuwalilia shida na kuwastua ili mradi wawachune
Buyer beware!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom