Ya Kiarabu...Abdallah & Mariam siyo ya kizungu
Paschal. .. PaasiRafudhi na makosa yakimatamshi ndio huwafanya hivyo,
Msukuma apendi kutamka jina refu, yani linafupishwa alafu linatamkwa ile kirafudhi za kisukuma yani neno la katikati huwa linavutwa .
Charles = chaale
Frank = Fuure
Grace = Giire
Simon= Siimo
Faustin= Faahu
Emmanuel =Eema
yani zamani nilkua najua ni majina yakisukuma kumbe wameyaharibu tu
SwadaktaaYa Kiarabu...
Paschal unaita paaaPaschal. .. Paasi
mkuu unawajulia kweli.
Nimewasikia sana wakiita Paasi.Paschal unaita paaa
Rafudhi na makosa yakimatamshi ndio huwafanya hivyo,
Msukuma apendi kutamka jina refu, yani linafupishwa alafu linatamkwa ile kirafudhi za kisukuma yani neno la katikati huwa linavutwa .
Charles = chaale
Frank = Fuure
Grace = Giire
Simon= Siimo
Faustin= Faahu
Emmanuel =Eema
yani zamani nilkua najua ni majina yakisukuma kumbe wameyaharibu tu
kumbe ni wengi tulikuwa tunadhani hivyo kuwa haya majina ni ya kibantu,Rafudhi na makosa yakimatamshi ndio huwafanya hivyo,
Msukuma apendi kutamka jina refu, yani linafupishwa alafu linatamkwa ile kirafudhi za kisukuma yani neno la katikati huwa linavutwa .
Charles = chaale
Frank = Fuure
Grace = Giire
Simon= Siimo
Faustin= Faahu
Emmanuel =Eema
yani zamani nilkua najua ni majina yakisukuma kumbe wameyaharibu tu
Hahahaaaaa umetisha sana mkuu eti furee,gireee yaan umeandika kisukuma kabisaRafudhi na makosa yakimatamshi ndio huwafanya hivyo,
Msukuma apendi kutamka jina refu, yani linafupishwa alafu linatamkwa ile kirafudhi za kisukuma yani neno la katikati huwa linavutwa .
Charles = chaale
Frank = Fuure
Grace = Giire
Simon= Siimo
Faustin= Faahu
Emmanuel =Eema
yani zamani nilkua najua ni majina yakisukuma kumbe wameyaharibu tu
Sio piriska ni pirisikaPrisca = piriska
Martini = Maritini