Majina ya kizungu yaliyobadilika na kuwa ya kibantu..

Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,861
6,466
Wakuu, hii imezoeleka huku kwetu yaani ukisikia mtu anaitwa haya majina basi moja kwa moja utajua ni msukuma japo ni majina ya kizungu:-

Charles
Laurensia
Metusela
Emanul
John
Peter
Abdalah
Rahel
Mariam
Michael
God
Paul
Samson n.k.. n.k

#sijui ni kwa nini imezoeleka hivi, ama saizi hakuna wazungu wanaotumia haya majina ama ni huku tu niliko ndipo kuna mitazamo hii hasi?
 
Rafudhi na makosa yakimatamshi ndio huwafanya hivyo,
Msukuma apendi kutamka jina refu, yani linafupishwa alafu linatamkwa ile kirafudhi za kisukuma yani neno la katikati huwa linavutwa .
Charles = chaale
Frank = Fuure
Grace = Giire
Simon= Siimo
Faustin= Faahu
Emmanuel =Eema
yani zamani nilkua najua ni majina yakisukuma kumbe wameyaharibu tu
 
Paschal. .. Paasi
mkuu unawajulia kweli.
 
Rafudhi na makosa yakimatamshi ndio huwafanya hivyo,
Msukuma apendi kutamka jina refu, yani linafupishwa alafu linatamkwa ile kirafudhi za kisukuma yani neno la katikati huwa linavutwa .
Charles = chaale
Frank = Fuure
Grace = Giire
Simon= Siimo
Faustin= Faahu
Emmanuel =Eema
yani zamani nilkua najua ni majina yakisukuma kumbe wameyaharibu tu
umenikumbusha mbali saana
 
kumbe ni wengi tulikuwa tunadhani hivyo kuwa haya majina ni ya kibantu,

#mwanzoni nilidhani ni mie peke yangu..
 
Rafudhi na makosa yakimatamshi ndio huwafanya hivyo,
Msukuma apendi kutamka jina refu, yani linafupishwa alafu linatamkwa ile kirafudhi za kisukuma yani neno la katikati huwa linavutwa .
Charles = chaale
Frank = Fuure
Grace = Giire
Simon= Siimo
Faustin= Faahu
Emmanuel =Eema
yani zamani nilkua najua ni majina yakisukuma kumbe wameyaharibu tu
Hahahaaaaa umetisha sana mkuu eti furee,gireee yaan umeandika kisukuma kabisa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom