Others
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,189
- 2,758
Habari za leo wapendwa, leo nimekutana na changamoto moja ambayo imenifanya niwaze sana japo najua kuna majibu yake humu ndani.
Naomba kujuzwa Pacha wa tatu au nne kuzaliwa anaitwaje kwa lugha rahisi ya kiswahili kama ilivyo kwa Pacha wa kwanza kuitwa KULWA na wa pili ni DOTO.
Naomba kuwasilisha hoja inayohitaji msaada wanaJF.