Kuna majina ya kike ni romantic sana yaani ukitajiwa au ukisikia yule mdada anaitwa flani unajikuta hisia zina jiupload zenyewe tu,baadhi ni kama haya hapa,
Yaani kisa ni neno "kukazia". Mju wako Hajar alitoa point moja kali sana mahali mimi nikamwambia nipo nyuma yake nakazia kwa nguvu sana. Mjuu wako mmoja akasema hilo neno lina ukakasi, mimi na Hajar tukampinga.
Nikamwambia amuulize mjomba wangu Asprin na Mkaza Mjomba Sky kama kuna shida yoyote kwenye "Kukazia"