Majina ya Kihaya ya kike

Majina ya Kihaya ya kike

Ghost

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2010
Posts
428
Reaction score
53
Hey fellas,

Naomba mapendekezo ya majina ya KIKE ya kihaya.

Mungu Awabariki..:glasses-nerdy:
 
Hey fellas,

Naomba mapendekezo ya majina ya KIKE ya kihaya.

Mungu Awabariki..:glasses-nerdy:

Kuna majina kama Kokushaba,Kokumanyuruza,Kokugonza.Mkakamili,Kokulamuka,Kokuhumuliza, nk.
 
Majina ya koku, koku nimeachoka, kila mtoto wa kike ni koku....i think its high time we changed...don't you think so??
 
Kama huna kazi kakojoe ulale majinayetu unayataka ya nini

@ MAGEZI,
THAT WAS TOTALLY UNCALLED FOR BRAH!
UNJIONA WEWE NDO MUHAYA PEKEE HAPA, UTAJUAJE KAMA HATA MM NI MHAYA.
DON'T BE JUDGEMENTAL BROTHER! WHY D'U THINK I WANT THESE NAMES? AM I GONNA EAT THEM?
SOMETIMES YOU NEED TO JUST POSE AND REFLECT BEFORE YOU DISPLAY UR 'U KNOW WHAT'!!
 
:hug:Mukaabakama, Kalikwera, kabaza, abela, byera, mukalugonzibwa, alinda, agonza, mukelelanwa, siima, gonza
 
Kama huna kazi kakojoe ulale majinayetu unayataka ya nini

@ MAGEZI,
THAT WAS TOTALLY UNCALLED FOR BRAH!
UNJIONA WEWE NDO MUHAYA PEKEE HAPA, UTAJUAJE KAMA HATA MM NI MHAYA.
DON'T BE JUDGEMENTAL BROTHER! WHY D'U THINK I WANT THESE NAMES? AM I GONNA EAT THEM?
SOMETIMES YOU NEED TO JUST POSE AND REFLECT BEFORE YOU DISPLAY UR 'U KNOW WHAT'!!

Mkuu taratibu msamehe bure hapa JF ukija kuna vibwenga na mauzauza so keep cool mkuu
 
Labda kama wewe hutoki kule Kanyigo, Lakini koku ndio TRADEMARK ya uko.
Majina kama haya mbona Bomba tu.
Kokushubira ,Kokuhikanisa , kokubanza ,Kokugenza ,Kokunyegera
 
jamani mbona mnagusa pabaya mnataka hawa watu watuharibie hali ya hewa humu ndani acheni jamani
 
Kama huna kazi kakojoe ulale majinayetu unayataka ya nini

@ MAGEZI,
THAT WAS TOTALLY UNCALLED FOR BRAH!
UNJIONA WEWE NDO MUHAYA PEKEE HAPA, UTAJUAJE KAMA HATA MM NI MHAYA.
DON'T BE JUDGEMENTAL BROTHER! WHY D'U THINK I WANT THESE NAMES? AM I GONNA EAT THEM?
SOMETIMES YOU NEED TO JUST POSE AND REFLECT BEFORE YOU DISPLAY UR 'U KNOW WHAT'!!

Wewe ndo bwe-ge kwa nini uanzishe thread ya kujadili majina ya watu huna lingine la kujadili?
 
Mukamara, Nyangoma, Nyakato, Nyamwiza, Biandiko, Atugonza, Atusime, Mukebita nadhani imetosha ila usisahau kama ni wanawake watu wazima basi majina yao yanatanguliwa na Kijiheshima fulani. MA........, Mfano MAMukamara, MaKarungi, MaBiandiko, MaNyangoma. Ukikosea utapigwa kwenzi dunia nzima ka nyundo!
 
praxeda, piastela, kaundime......nk
 
Back
Top Bottom