Majina ya Kichaga

ndeenengo=nimepewa
eliaoni=mungu anaona
eliwangu=mungu wangu
sia=furaha=happy
aichiwakye=anawajuwa walio wake
auisaria=kwa neema tu
ndemfoo
nderingo=nalindwa
elangiringa=mungu ananilinda
elinami= mungu yuko nami
sainecha
ambuyasia=tazama ni furaha
anael= mtukuze mungu
haika=asante
ellyuko=yuko mungu
rumishael=msifu mungu
 
Na ndo mana mboro linatoholewa linageuzwa Mboya.

Wakipata hela Mboya, Kimati, Ndosi, Sangawe nk. Wooote Mboro
Kwa wasiojua maana ya hili neno mboro maana yake ni RISASI! Kamuulize babu yako pale kwenu atakwambia!
 
Oforo
haikamenyi
ndelahiyo-nilitukanwa
mnyamari-mharibifu
ndenengo-nilipewa
ndeana-nilishukuru
saria-saidia
awedamenyi-anamsubiri mwenyewe
mosaria-wakusaidia
sungusia-tengeneza
 
Mshipa wa mbegu Bora! Origino TZ , Au kwa lugha fasaa- Uboo!
Karibu Moshi Mangi

Ha ha haaaaaaaaa. Mkuu Mboro sio hivo unavyofikiria. Hiyo sio tafsiri yake. Kile kiungo kina jina lake! wataalamu wanaweza kudadavua hapa wattwambia. Mimi siwezi kusema ila kuna wataalamu wa lugha hapa. Ila Neno Mboro sio kabisa mnavyofikiri!
Moshi kwetu kaka. Ndo nakaa na kupata riziki yangu!
 
Ndakidemy
Mandara
Salema
Mrema
Mboya
Mbuya
Maro
Minja
Muhia
 
lyimo
meena
temu
monyo
mamkwe
mandari
tesha
tarimo
kowero
kaale
kiwelu
mangowo
ndowo
mushi
moshi
 
Back
Top Bottom