Kuna bar moja ya gongo ipo mitaa ya daraja mbili arusha inaitwa NTOKE VIPI.
Saa ya kuingia ni easy coz mnywaji huwa na kiu so hajali sana ila wakati wa kutoka ni tatizo coz mlango uko barabarani kabisa kuonekana ni rahisi sana.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums