Majina saba ya askari walio uwawa Sudan

Poleni sana makamanda na mashujaa wanaifia nchi yao kwa kulinda amani!
 
Nasikitika nahao waislam mauti yamewakuta katika mwezi mtukufu Wa ramadhani walitakiwa wafanye ibada

Una uhakika gani kwamba walikuwa hawafungi.. ?? How shamefull we will look infront of ALLAH For judging people of the sins which he had already forgiven them for
 


Mkuu kama unayo tunaomba utu-uploadie na sisi hapa jamvini kama inawezekana.
 

Ulichokiandika hapa siyo mahali pake nafikiri ungesubiri kutoa machungu yako kwa sasa tuungane na ndugu na jamaa kwa ajili ya kuwaombea hawa hata wewe kuna mabaya unayoyafanya. Hawa walienda kuwakilisha taifa na wala hawakutumwa na wanasiasa. SIYO KILA KITU SIASA NDUGU
 
RIP Makamanda wa vita. Poleni familia. Poleni Taifa
 
Ni jambo baya lakini hali ya mtwara inanifanya nisione uchungu sana.au ndio kagame kaanza.
 
Kuna ushahidi gani uliotumika kueleza jinsi walivyoshambuliwa..? au kuna walionusurika kufa...?
R.I.P our beloved Tanzanians.

itakuwa kunawaliosevu ndio maana wakasema hivyo pole sana kwa familia zao..
 
Mh! Inasikitisha na pia ni fundisho kwetu kuiogopa vita na kuachana na njia zozote za uvunjivu wa amani ili yasijetokea huku nyumbani
 
Ni jambo baya lakini hali ya mtwara inanifanya nisione uchungu sana.au ndio kagame kaanza.[/QUOTE kama alisema atatu-hit from anywhere basi tusishangae, na sisi tumjibu kimyakimya!
 
kama Vipi warudi tu nyumbani, haiwezekani wao washambuliwe halafu wazuiwe kujibu mapigo.!!!!!

Kuna rules a engagement, na wao wanazifahamu vizuri sana kwa maana wanapewa darasa kabla ya kukabidhiwa lindo, risk inafahamika vizuri na Tz kama nchi imekubaliana nazo ndy maana imekubali kupeleka jeshi kuwasaidia ndugu zetu wa sudani. sasa kukiwa na casualties tusianze kulaumu na kusema jeshi letu lirejee, tuwape moyo na kuwaombea waliobaki!
 
Kwa mujibu wa channel 10 wamekufa JWTZ 6 na Polisi 1.
 
Kwa mujibu wa channel 10 wamekufa JWTZ 6 na Polisi 1.
Duh polisi tena? Ni polisi hawa wa IGP Mwema ama ni Military Police (MP) wa Gen. Mwamunyange?
 
Nasikitika nahao waislam mauti yamewakuta katika mwezi mtukufu Wa ramadhani walitakiwa wafanye ibada

kupigania Haki ya Kuishi, kutobakwa na Amani kwa Watu wa Dafour inayoporwa na Jajaweed nayo ni Ibada Mkuu wa Kazi!
 
Tanzania ina wajibika kuona dunia ni mahali salama pa kuishi kwa nadharia na kwa vitendo. Ni wanajeshi wa TANZANIA. wameifia Tanzania
Sio sahihi kusema wameifia tanzania. Sema wamefia haki, usawa na amani. Kupata justification ya kusema wameifia tanzania kwangu ni ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…