Nyamayao,
jina hili mara nyingi hutolewa na wazazi pale ambapo watoto
waliomtangulia huyu walifariki,na jina hili hutolewa kama ujumbe
kwa wachawi kuwa haya sasa tumewazalia nyama nyingine,na mara
nyingi watoto hawa huwa wanakuwa watu wazima bila ya matatizo
ya kiafya lakini tatizo lao kubwa huwa hawawezi kusema neno hapana
pale anapofuatwa na mwanaume,hivyo husifika sana kwa kugawa uroda.