Majina mengine ya kampuni za biashara nchini kwetu yana walakini sana

Majina mengine ya kampuni za biashara nchini kwetu yana walakini sana

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,790
Reaction score
24,378
Ltd: Limited Company ni kampuni ya biashara ambazo zinatenganisha mali binafsi ya mwenye biashara na zile za biashara yenyewe. Sheria zinazohusu Limited companies ni tofauti kati ya nchi na nchi kwa hiyo biashara nyingi za Tanzania kuwa Limited ni sawa kabisa kulingana na shria za nchi.

Investments: Investments company ni kampuni ambayo biashara yake kubwa ni kununua hisa katika makampuni mengine ya biashara. Wanachukua hela kutoka kwa wateja wao na kuzitumia kununua hisa katika makampuni mengine na kisha kugawana faida zinazotokana na hisa hizo. Tanzania kuna biashara nyingi sana zinaitwa Investments lakini kimsingi siyo investments companies. BRELA inatakiwa isimamie jambo hili vizuri.

(T), (Tanzania), (EA), (East African) Company: Suffixes za (T), (Tanzania), (EA), (East African) zinaonyesha kuwa kampuni hii ni subsidiary ya kampuni kubwa duniani lakini yenyewe inajuhusisha na maeneo ya Tanzania au afrika ya mashariki tu. Lakini utashangaa kampuni ya kitanzania ambayo haina operation yoyote kwingineko duniani intumia suffixes hizo. Hilo ni kosa ambalo BRELA inatakiwa ilinyooshe.

Jina la biashara kama Kichuguu Investment Company (T) wakati biashara yake ni kuuza dagaa tandale tu siyo jina sahihi la biashara iliyosajiriwa.
 
Kupata jina zuri, common linaloendana na biashara au kampuni sio jambo jepesi kama wengi wanavyodhani. Majina mengi tayari yalishasajiliwa, ukitaka kuamini jaribu kulist down 20 names alafu anzia Brella uone ni mangapi yatakuwa hayajasajiliwa. Na hiki ndio chanzo cha kuangukia majina tunayoona ni ya ajabu.
 
Kama haina athar kwenye operation me sioni. Tatizo
 
Back
Top Bottom