Majina Mengine Burudani tupu..

Fredwash

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2009
Posts
1,421
Reaction score
2,095
Hiyo ni Moja ya shule zenye majina ya kipekee .... iko mwasonga kibada.... nilikua kiji - tour kidogo waungwana
 

Attachments

  • Image0087.jpg
    286.4 KB · Views: 595
hahahahahahahahaha, kweli inabidi tuvumilie ukooni!
 
Hii shule inaelekea inashida kuanzia waalimu mpaka wanafunzi hahahaha
 
Labda by then walimaanisha Sahau kufaulu na kwenda sekondary hivyo iliyobaki ni kuvumilia kuendelea kubaki ukooni.
 
hahahahaha lazima kuna source ya jina kuwa hilo, au kuna migogoro ya koo eneo hilo so wakakubaliana waite jina hilo ili kila anepita asome na kuvumilia kwenye ukoo wake, du kweli kaz ipo....ni mkoa gani ndugu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…