joshua philemon
Member
- Aug 6, 2017
- 10
- 0
Jamni naombeni mnisaidie kwa waliokosa vyuo awamu hii ya kwanza je huwa kuna majina mengine ambayo hutolewa maana tunaskia mengi mtaani au ni kuaply tena tu
Poa poaMwendo wa kuaply upya..hamna jins mungu anawaona hao .....