Majina manne ya Lowassa ni yapi?

Majina manne ya Lowassa ni yapi?

Status
Not open for further replies.
Lowasa ndy rais ajaye we mleta uzi tutolee upuuz hapa
 
Hivi umepost nini sasa hapa? KUJUA MAJINA YOTE HAYO ILI IWEJE? ndio maana tunasema,kipaumbele

1) Elimu
2) Elimu
3) Elimu.
 
Aaahhh wapi,hakuna atakae weza hilo,mbona unawapa mtihani mgumu sana,jamaa ni fata upepo hawaaa

Magamba hata mnalo liandika ni uharo mtupu kazi kujaza saver
 
WASIWASI JUU YA LOWASA:
Hivi wana jf walio ukawa naomba kuuliza tu swali la kizushi,maana nina wasiwasi na huyo mnayemshabikia,wengi kama fata upepo tu,inawezekana hata majina yake manne hamyajui,mnajua tu la lowasa.Mfano yule wa ccm anaitwa John Pombe Joseph Magufuli:Haya na huyo wa kwenu kama kweli yupo ukawa anaejiamini hapa ataje
Anaitwa Ma-tako yako.
 
Afrika ina tatizo kubwa sana,hv unaanzisha uzi kuhusu jina wakati watu wanasubiri kuichinja CCM,hz ndio akili za zama za mawe za akina Bulembo.
 
Umeshasema swali la kizushi,ss bdo unasubiri jibu?kua kwanza hacha kutoka povu..
 
Afrika ina tatizo kubwa sana,hv unaanzisha uzi kuhusu jina wakati watu wanasubiri kuichinja CCM,hz ndio akili za zama za mawe za akina Bulembo.

Wana small brains hao!!
 
Niseme tu kwa mfumo wa kiingereza, kwa mfumo wa kiarabu na mifumo mingine hakuna naming system ya majina manne. Biological nomencreture pia hakuna majina manne. Sana sana utakutana na two names!! Mifumo ya freemason ndio yenye4 names!!
 
Mleta mada soma aya majina manne kwa sauti :
1. Eye
2. Harm
3. Stew

4. Peud!!

Soma tena haraka haraka!! Then utajua rais ajaye !!
 
WASIWASI JUU YA LOWASA:
Hivi wana jf walio ukawa naomba kuuliza tu swali la kizushi,maana nina wasiwasi na huyo mnayemshabikia,wengi kama fata upepo tu,inawezekana hata majina yake manne hamyajui,mnajua tu la lowasa.Mfano yule wa ccm anaitwa John Pombe Joseph Magufuli:Haya na huyo wa kwenu kama kweli yupo ukawa anaejiamini hapa ataje

Nadhani CCM kuna matatizo. Hivi hiyo nayo ni sifa ya mgombea. Mmechanganya ndio maana JPM haishi vimbwanga ndani na nje ya jukwaa. Ndo kukaukiwa hoja huko.
 
Huyu aliyeanzisha huu uzi utakuta hata yeye mwenyewe majina yake manne hayajui. Jina la nne la nini sasa wakati official documents za serikali zinataka majina matatu.
 
WASIWASI JUU YA LOWASA:
Hivi wana jf walio ukawa naomba kuuliza tu swali la kizushi,maana nina wasiwasi na huyo mnayemshabikia,wengi kama fata upepo tu,inawezekana hata majina yake manne hamyajui,mnajua tu la lowasa.Mfano yule wa ccm anaitwa John Pombe Joseph Magufuli:Haya na huyo wa kwenu kama kweli yupo ukawa anaejiamini hapa ataje

Najua hujui na hujui kuwa hujui! Pamoja na Swali lako kutokuwa na mashiko yoyote, kwa sababu wewe ni so incompetent kwenye hicho kitengo ulichopo, majina yake manne ni kama Ifuatavyo:
Edward Ngoyai Lowassa Ndossi, kwa Uthibitisho zaidi muulize Mwenyekiti wako wa Chama!
Nawasiliana na Makamu M/kiti na Katibu Mkuu wako ili wavunje hicho Kitengo chenu, mnakiaibisha Chama kikongwe, kama walio recruit ni JMakamba na Nape,inabidi wapelekwe Mirembe straight away!
Bora mkamwomba FaizaFoxy na Juliana Shonza wakaja kuwa train angalau!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom