tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,119
Kwa ninavyo jua mimi utendaji wa serikali ni tofaut na mazoea ya mtaan. Hivyo kiongoz hata kama amekaa sana vijiweni hapaswi kupeleka mazoea hayo serikalini. Juz mkuu wa mkoa Paul makonda kaitisha mkutano na waandishi wa habari ili awatajie wauza madawa ya kulevya . Maana yake alikua amefanyia uchunguzi wa kutosha na majina anayo ya wahusika.
Lakn cha ajabu hakua na jina hata moja lililokamilika kuonyesha kwamba taarifa yake haikushiba. Sio askar wala raia aliowataja kwa majina yao halisi. Yaan pale alipopatia japo kidogo ni kutaja jina moja. Kwa mfano alimtaja Wema, askar Noeli na wengineo lakn wenye majina kama haya wapo wengi TZ.
Hoja yangu mtendajj wa serikali akisimama sehem huwakilisha serikali na serikali ndio mtoaji wa vitambulisho kitendo cha mkuu wa mkoa kutaja AKA za wahusika mwanzo mwisho ni kuonyesha umma kwamba serikali inatambua vitu hivyo. Nawaza kwa sauti kwa mfano wahusika wasingefika police wangefanywa nini huku hawakutajwa kwa majina yao halisi. Hata jana karudia hivyo hivyo kwa kumtaja tunda Aje police . Je kweli yule msichana anaitwa tunda? Au serikali imeanza kufanya kazi kwa mfumo wa instagram??
Tafadhali waheshimiwa hebu tumien utaratibu wa kiserikali pale mnaposimama mbele yetu ili kujenga heshima ya serikali. Huu utaratibu wa kuongea na sisi kama mko kijiweni ukome kabisa sio kila ni wa instagram. Ipo siku mtawaita watu wana jeuri maana hawataitikia wito kwa makusudi kwa sababu hamkutaja majina yao halisi.