Majimbo ya kukombolewa 2020

Wewe taahira ulishashuhudia jimbo la Lusinde wewe? Unalijua jimbo la Kishapu? Unalifahamu jimbo la Kongwa? hebu tuwe fair aiseee!! Kama huna ubongo wa binadamu bora ukajikalia kimya haki ya nani!!
NA LA MPWAPWA,KIBAKWE HAJAFIKA HUYU! UKISAFIRI KWENDA HUKO UANDAE NA KATON ZA DICLOMOVE ZAKUTOSHA!
 
Karibu uchangie mradi wa maji Nkhoiree, jibo la Singida Magharibi kwa Elibariki Kingu. Singida Mashariki ni bora kuliko Singida Magharibi kwa viwango vyote.
Kuhusu ubunge,niwahikikishie,hakuna wa kumtoa Lissu na CHADEMA yake. Na kutaka kumuua ndio kabisaaa!! Labda mumuzuie kugombea kwingine ila sio kwa wanyaturu.
 
Naamini watu ambao ni makini sana na wanaojitambua zaidi ni katika jimbo la Mh Tundu A.Lissu. Kama hujui fanya utafiti.
 
Amekufa?
 
Lissu ni kaka wa Taifa Wapiga kura wanajua kwamba Serikali ndiyo inapaswa kujenga miuondo mbinu nakadhalika
 
Hahaha Naomba kujua khal ya jimbo la Pinda pamoja na Kassim Majaliwa maana mtoa mada anawashwa sana sasa ebu mpeni ya Hao Mawaziri tena Wakuu ili siku nyingine asushobokeee
 
Wewe ni mkazi wa jimbo hilo? Waliompigia wamekulalamikia?
 
Fully nonsense. Kwani Chadema ndio wanaokusanya kodi?
 
Mungu ni mwema , asante wameanza kujitokeza
 
Baada ya kushindwa kumuua Lissu umekuja na mapambio yako hapa.
JAMAA limevaa mewani kabisa lakini linakuja naujinga kama huu.sijui kwanini serekali pamoja nawana ccm huwa wanawachekea wajinga kama hawa.
 
Kwani mbunge ndio anaekusanya kodi na kupanga matumizi???labda kama unatumia kiungo cha kutolea taka mwilini kufikiri ndio unaongea ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…