Majimbo ya kukombolewa 2020

Fika jimbo la msalala lenye utajiri wa Dhahabu lkn wananchi wake tu wananunua maji ya ndoo lita 20 kwa Ths.1,000/=.Hili jimbo linaongozwa na wabunge wa ccm tokea nchi ilipopata uhuru.
 
Acha uzezeta,kwani comment yangu hukuisoma kabla ya kuikata na ku-quote kipande kilichokutekenya?
Uzezeta gani wakati unasema jamaa wameamua wamuue ili wachukue jimbo? Mimi nilipatwa na mfadhaiko niliposoma maandishi yako. Sasa kosa langu liko wapi?
 
Ukweli ndio unaojieleza katika maisha ya uhalisia tunalaani sana kitendo kilichotokea cha njama za kumuua MB Tundu lisu lakini tukirudi kwenye ukweli ndio hali halisi wengi mnaochangia humu ninaimani asilimia 90 siyo wanasingida mashariki ila sisi wananchi wa jimbo hili ndo tunaumia tena sana TL amechukua jimbo nikiwa na akili timamu za ujana na tulipenda sana kwa kitendo hicho tukitegemea tumeondoa nyoka mbaya kwa kipindi hicho lakin kwa sasa yamerudi zaidi ya hayo na siyo sababu ni upinzani na tatizo siyo kumbadilisha mtu mwingine kisa chama nani sasa wa kumuweka pale ambaye ataweza kucover gep hakuna maana anayepingana nae ndo hamna kitu kabisa tena ni binamu yake hafai maana alishaonesha hali ya rushwa mapema
 
Kama unazungumzia Jimbo la Lissu, sahau kama UKAWA watapoteza Jimbo hata moja 2020, majimbo ya kukombolewa ni yale yanao ongeza namba ya CCM bungeni na hasa wale wasio na Msimamo binafsi hata kwa Mambo muhimu, tuta hakikisha wanaondoka as much sa possible.
 
Tanzania ndio ya kulaumiwa, kwanini serikali haipeleki huduma huko wakati daily Lissu anawatetea watu wote bila ubaguzi...shame on you
 
Mhe. Mb TL ni mzuri sna ila cyo kwa jimbo ni kwa taifa maana tokea ameongoza hakuna hata siku moja amezungumzia matatizo ya jimbo lake na sidhani kama ana muda wa kukaa jimboni wengi mnamjua kwenye media ila cc wazawa ndo tunaoliona tatizo msiwe wakali jamani tuongee ukweli kama hujawahi kufika kwenye hilo jimbo unamjua TL kwenye media bora tu ukae usome tu comment za watu vijana wameathirika sana na slogan yake(msichangie kitu chochote serikali itafanya) sasa hv hadi vijana wamekuwa hawana mwelekeo wowote hata wa kuchangia maendeleo kumbukeni hata shule tulizosoma cc zilijengwa kwa nguvu za wazazi wetu kushirikiana na serikali sasa leo ukiwaambia wasifanye chochote we unakula kiyoyozi Dar unakuwa umewasaidia na je serikali chama fulani kikiingia madarakani kikiingia tutasubiri kitoke ndipo tufanye maendeleo sahv nenda jimboni waambie tuchangie hata kujenga zahanati kama hawajakuchoma moto
 
Wakomboa majimbo wenyewe ni hao wachawi wanaologa mchana wakiwa nusu uchi hapo??? ccm na serikali yake,ndo yenye hela za maendeleo ya majimbo yote nchi nzima ! Jimbo la Lisu halitapata maendeleo kwakua liko nchini ya upinzani,na magufuli anataka upinzani ufe,na watu waishi kama mashetani,kama alivyokwisha sema mwenyewe. Lisu tu alimanusura amuuwe,hayo maendeleo ndo atapeleka jimboni kwa Lisu ?? uvccm nilisha waelezeni,watanzania wa leo wanachunguza,wanahoji,wasipojibiwa hoja zao,wanajijibu wenyewe kutokana na uchunguzi wao.hivyo,msiwaaminishe wananchi kuwa Lisu ana fungu la maendeleo,na amelitafuna au kulikalia tu ili akomoe wapiga kura wake !! Mnajitahidi kumchafua Lisu,ila Mungu anazidi kumsafisha !!. Hamuoni Mungu alivyo mnusuru na risasi zenu ? Hili tu haliwatii aibu ?madiwani wanunuliwa na ccm Arusha,walishaweka wazi jinsi ccm inavyonyima wananchi maendeleo na kununua madiwani,kwakua ni wapinzani !! Msijifanye kudanganya wananchi kwa mbinu za kijinga kiasi hiki mkadhani ni mazuzu ! Mbinu zote chafu za ccm zipo wazi mno sasa hivi,kuliko wakati mwingine wowote nchini.
 
Tanzania ndio ya kulaumiwa, kwanini serikali haipeleki huduma huko wakati daily Lissu anawatetea watu wote bila ubaguzi...shame on you
Anawatetea watanzania wote siyo wanajimbo lake ambalo walimpa dhamana ya kwenda kuwasemea matatizo yao
 
Taifa hili tangu liwe huru hakuna chama chochote kingine kilichowahi kuongoza ni serikali mdiyo inayokusanya kodi cha ajabu kuna watu humu wanataka kina mdee, losu nk walete maendleo wakati maazimio yalifikiwa bungeni kuwa hazitapelekwa pesa za maendeleo kwenye majimbo ya wapimzani
 
Kwani Mbunge kazi yake ni kujenga barabara,zahanati,kupeleka maji au kujenga shule?

Somo la Uraia lilikupita kushoto nini?
Malisa Godlisten hivi majuzi alikuwa anamsifia Bulaya kupeleka maji Bunda ...Je kazi ya Bulaya ni kupeleka maji jimboni?

Muwe mnawasiliana kabla ya kuja kupost
 
.....
..... kitu ya mrina hii
 
Hii ni kati ya thread zahovyo kuwahi kupostiwa hapa Africa mashariki na kati
 
Wakati wa kampeni TL alituahidi kuwa tumchague ili atuletee maendeleo sasa ameshindwa ila anawatetea wazungu Acacia!
 
Kwani tangu Uhuru Lissu ndio mbunge wa jimbo hilo?

Kwanini usiwalaani viongozi wa juu?

Mimi naona nichukitu ila hiyo sio suluhu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…