Majimbo hayo hayana wabunge

Ni vyema mkawa na sababu na vigezo kwa majimbo mliyoainisha. Mtazamo wenu nyie wapigakura wa mtandaoni ni tofauti na wana majimbo.
 
Ina maana sababu nilizotoa hukuzisoma.Mbunge wetu kihiyo,vuruguman,chaliiiiii.Jamaa anapenda vurumai hadi anagombana na madiwani wa chama chake bado kidogo utasikia kagombana na Baba,Mama,Mke wake.Ohooo Lema nomaaaaaaaaaa.

Jimbo la Kongwa,hakuna maendeleo ya aina yoyote,tokea nipo Primary hadi leo hii.
 
Tusiishie kutaja majina tu sababu nazo muhimu.Arusha mjini. Lema Godbless yuko kimwili lakili kaiacha kabatini.Arusha mjini ikijulikana geneva ya Afrika siku hizi vurugu mtindo mmoja mikutano mikubwa ya kimataifa haifanyiki tena.Makao makuu ya afrika mashariki mikutano inafanyika Dar kisha vurugu za Lema na vibaka wake.Lema kaishia kidato cha pili Kibohehe.Huwezi amini mji wa kimataifa unawakilishwa na mbunge kihiyo.
huwezi amini ccm ina mbunge mchawi majimarefu mwanga mkubwa yule!
 
Tusiishie kutaja majina tu sababu nazo muhimu.Arusha mjini. Lema Godbless yuko kimwili lakili kaiacha kabatini.Arusha mjini ikijulikana geneva ya Afrika siku hizi vurugu mtindo mmoja mikutano mikubwa ya kimataifa haifanyiki tena.Makao makuu ya afrika mashariki mikutano inafanyika Dar kisha vurugu za Lema na vibaka wake.Lema kaishia kidato cha pili Kibohehe.Huwezi amini mji wa kimataifa unawakilishwa na mbunge kihiyo.
I suggest you go back to class kama hujui hata kuwa uwakilishi wa watu hautegemei kiwango cha elimu..pole.
 
Tusiishie kutaja majina tu sababu nazo muhimu.

Arusha mjini. Lema Godbless yuko kimwili lakili kaiacha kabatini.Arusha mjini ikijulikana geneva ya Afrika siku hizi vurugu mtindo mmoja mikutano mikubwa ya kimataifa haifanyiki tena.Makao makuu ya afrika mashariki mikutano inafanyika Dar kisha vurugu za Lema na vibaka wake.

Lema kaishia kidato cha pili Kibohehe.Huwezi amini mji wa kimataifa unawakilishwa na mbunge kihiyo.
Umelogwa na nani weyeeeeeee
 
Kama Lema ni kihiyo kwa kuishia kidato cha pili, je hawa tuwaiteje??

1. Prof. Maji marefu-darasa la nne
2.Lameck Airo-darasa la tatu
 
Ina maana sababu nilizotoa hukuzisoma.Mbunge wetu kihiyo,vuruguman,chaliiiiii.Jamaa anapenda vurumai hadi anagombana na madiwani wa chama chake bado kidogo utasikia kagombana na Baba,Mama,Mke wake.Ohooo Lema nomaaaaaaaaaa.

Vipi kuhusu sita anayegombana na rais wake aliyemteua kuwa waziri lakini pia mwenyekiti wake wa chama cha magamba??
 
Ndugu wana jf majimbo yafuatayo yako hayana wabunge na uchaguzi unatakiwa ufanyike haraka iwezekanavyo:
1. Rorya
2. Shinyanga mjini
3. Tarime
4. Igunga
kama mnafahamu majimbo mengine yasiyo na wabunge muendelee kuyataja.
Nawasilisha.

5.Arumeru Mashariki ... Tokea atangazwe Mshindi Jeremia Sumari hata kuapishwa hakuapishwa, ana kansa ya ubongo.
 
Back
Top Bottom