kama sifa ya mbunge ni kulala bungeni na kupokea rushwa kutoka kwa jamii ya akina Jairo ni kweli hayo majimbo hayana wabunge, kwa sababu chadema hakuna mbunge anayelala wala kupokea rushwa. Natamani nikutukane nahofia ban.majimbo yasiyo na wabunge,ni pamoja na hai,moshi mjini,arusha mjini,karatu,mbulu mjini,kigoma kaskazini,singida kusini,kawe.ubungo,mbeya mjini,mengine ntataja badae ngoja nifanye utafiti
Ukonga,Kinodoni,Ilala.TemekeKigamboniSegereaLushoto
Tusiishie kutaja majina tu sababu nazo muhimu.
Arusha mjini. Lema Godbless yuko kimwili lakili kaiacha kabatini.Arusha mjini ikijulikana geneva ya Afrika siku hizi vurugu mtindo mmoja mikutano mikubwa ya kimataifa haifanyiki tena.Makao makuu ya afrika mashariki mikutano inafanyika Dar kisha vurugu za Lema na vibaka wake.
Lema kaishia kidato cha pili Kibohehe.Huwezi amini mji wa kimataifa unawakilishwa na mbunge kihiyo.