Korogwe vijijini huku hakuna mbunge kuna kilazaNdugu wana jf majimbo yafuatayo yako hayana wabunge na uchaguzi unatakiwa ufanyike haraka iwezekanavyo:1. Rorya2. Shinyanga mjini3. Tarime4. Igungakama mnafahamu majimbo mengine yasiyo na wabunge muendelee kuyataja.Nawasilisha.
monduli na bariadi kwa vijisentiTusiishie kutaja majina tu sababu nazo muhimu.Arusha mjini. Lema Godbless yuko kimwili lakili kaiacha kabatini.Arusha mjini ikijulikana geneva ya Afrika siku hizi vurugu mtindo mmoja mikutano mikubwa ya kimataifa haifanyiki tena.Makao makuu ya afrika mashariki mikutano inafanyika Dar kisha vurugu za Lema na vibaka wake.Lema kaishia kidato cha pili Kibohehe.Huwezi amini mji wa kimataifa unawakilishwa na mbunge kihiyo.
wewe ni magamba live bila chengaKaweArusha mjini
Mbeya mjini ndiyo Ina sufuri kabisa. Mbunge kila wakati anaota studio ya kurekodia muzikiMbeya vijijini. Mp hajui alimaliza darasa gani na shule aliyosoma.
Tusiishie kutaja majina tu sababu nazo muhimu.
Arusha mjini. Lema Godbless yuko kimwili lakili kaiacha kabatini.Arusha mjini ikijulikana geneva ya Afrika siku hizi vurugu mtindo mmoja mikutano mikubwa ya kimataifa haifanyiki tena.Makao makuu ya afrika mashariki mikutano inafanyika Dar kisha vurugu za Lema na vibaka wake.
Lema kaishia kidato cha pili Kibohehe.Huwezi amini mji wa kimataifa unawakilishwa na mbunge kihiyo.
Umelogwa na nani weyeeeeeee
majimbo yasiyo na wabunge,ni pamoja na hai,moshi mjini,arusha mjini,karatu,mbulu mjini,kigoma kaskazini,singida kusini,kawe.ubungo,mbeya mjini,mengine ntataja badae ngoja nifanye utafiti
kuzaliwa: miaka ya 50/60, Elimu: strd seven miaka ya 70. Uchawi/uganga: miaka ya 8mpaka sasa. 2010 mbunge korogwe mpaka sasaTupe CV ya Professor Maji marefu
Ndugu wana jf majimbo yafuatayo yako hayana wabunge na uchaguzi unatakiwa ufanyike haraka iwezekanavyo:1. Rorya2. Shinyanga mjini3. Tarime4. Igungakama mnafahamu majimbo mengine yasiyo na wabunge: Jimbo la Kilombero