Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,372
- 28,043
Tunza hi post yako usikimbie jukwaani. Hapo ukipata mawili tu mmeshinda. Chadema mna akili za kuku Kama mnaamini haya maoni.Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Mama D: Acha kuhangaika na pawa chilonda huyo ni mmawia Ana I'd nyingi humu kuongeza mashabiki wa Lissu. Yuko na mpambe wa Lissu anaitwa ..... Erythrocyte nimemgundua Leo nitawaumbua hivi karibuni ni ndumilakuwili Hawa wachumia tumbo.Kutembea na MALORI kama hivi eee, Chadema mna uzushi sanaView attachment 1568113
Mama D: Acha kuhangaika na pawa chilonda huyo ni mmawia Ana I'd nyingi humu kuongeza mashabiki wa Lissu. Yuko na mpambe wa Lissu anaitwa ..... Erythrocyte nimemgundua Leo nitawaumbua hivi karibuni ni ndumilakuwili Hawa wachumia tumbo.
Habari yako Mmawia ? Naona leo unatumia ID yako hii!!Hahaaa mkuu mnatembea na MALORI ya mizigo na matrekta ya mpunga! Hahaaa walionekana wanafunzi wa shule za misingi CCM KIRUMBA wakishuka kwenye mabasi.
Mwenyekiti pumzi imekata mapema sanaHayo ndio majimbo kipawambele cha CCM
Mwaka huu Chadema mtaongea kila lugha
Mkuu, wacha kukariri. Bila wizi ccm hawatoboiHuwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi? Nawashauri watoke huku JF wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi.
Ha ha ha.. ili kuhakikisha kuna wasikilizaji wa hotuba zake!Sikieni MATAGA asisombe watu ili tupate Tathmini ya kweli maana anatuchanganya nasikia anasafiri na babasi 70 MALORI 120 hivi Ni kweli mkuu au mauongo uongo V8 60
Hapo wamekaa wanasikiliza hotuba, siyo kusombwa Kama ccmKutembea na MALORI kama hivi eee, Chadema mna uzushi sanaView attachment 1568113
Maisha yao yako humu, ndiyo maana cropping za picha za mikutano zinafanyika humu humu pia.Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi? Nawashauri watoke huku JF wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi.
Wala usikonde.. lzm watatangazaKushinda watashinda lakini nani atawatangaza?
Mbona wameenguliwa kibao na hakuna mlichofanya?Wala usikonde.. lzm watatangaza
Ongeza Simanjiro, Ole Sendeka hata kwa daqa hatoboi!!Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Ndoto za kuandika kama kupiga punyeto ukivuta hisia ruksa lakini sio kweli kuwa unaemvutia hisia ni yeye kumbe mkono.Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Ukweli mtupu. Lissu hana lakeMaisha yao yako humu, ndiyo maana cropping za picha za mikutano zinafanyika humu humu pia.
Mtu pekee aliyeitingisha Ccm ni Lowassa tu. Lissu mwepesi Sana.
Kipawa mbele ndiyo nini wee Steven Mengele?Hayo ndio majimbo kipawambele cha CCM
Mwaka huu Chadema mtaongea kila lugha