majimaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

majimaji

Discussion in 'JF Doctor' started by prianka, Oct 3, 2012.

 1. prianka

  prianka JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 684
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kutokwa na majimaji ukeni na harufu mbaya hata kama unajisafisha kila mara inakuaje yale majimaji yanayo toka yanakua yananuka
   
 2. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Fangasi haziondolewi kwa kusfisha...nenda hospitali.
   
 3. Princess Tee

  Princess Tee Member

  #3
  Oct 3, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutokwa majimaji ukeni ni jambo la kawaida na nature yake huwa ni colourless km ute wa yai na kawaida hautoi harufu mbaya. Majimaji hayo huongozwa na hormones, huongezeka prior to ovulation and after ovulation hupungua.
  Inawezekana ukawa na infections either bacteria au fungus.
  Kuna maswali ya kujiuliza hapa, kwanza nature ya majimaji hayo, yana rangi gani?
  Je unawashwa sehemu za siri?
  Harufu ikoje? Kuna aina moja ya bacteria wao husababisha uke kutoa harufu km shombo ya samaki.
  Mara nyingi infection ya uke huendana na infection ya urinary truck. Je una homa, mkojo una rangi gani kawaida au nao umebadilika rangi? Ukiwa unakojoa unajisikiaje, kuna maumivu yoyote?
  Baada ya kujiuliza hayo maswali nakushauri uende ukamwone daktari. Dnt wait untill its too late!!
   
Loading...