luckWill
Member
- Dec 21, 2015
- 37
- 104
Majiko haya ni zao la ubunifu wa hapa hapa inchini kwetu Tanzania, majiko haya yaweza kutumika kwa matumizi madogo madogo ya nyumbani kama kupikia chai,kuchemshia vyakula,n.k
Majiko hya ni rafiki wa mazingira kwakua hupunguza matumizi ya mkaa nakuokoa mazingira yetu kwa kutokata mkaa...
Hutumia gas iliyopo kwenye kikopo mfano wa dawa za kupuliza za mbu za kwenye makopo ambayo huuzwa kwa sh.Tshs 2,500 tu kwahio ikiisha unabadiliaha kwa sh.2,500 tu na jiko lenyewe utalipata kwa sh.Tshs 30,000 tu.
Free delivery kwa wakazi wa dsm . mikoani tuna tuma pia
Sent using Jamii Forums mobile app