Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Kama siku nne ntatumia gesi ya 2,500 basi hiyo ni hasara mkuu, mi natumia mtungi wa kg 15 kwa takribani miezi mitano kasoro.
Kg 15 ni around 50,000TZS.
Kwa hesabu yako 2500 siku nne, kwa mwezi ni 18,750TZS ina maana kwa matumizi yangu ya miezi 5 nilivyozoea ni sawa na 18,750*5 jumla ni 93,750 TZS.
Kwangu ni bonge la hasara.
Ila hongera kwa ubunifu mkuu