Majiji ya afrika mashariki

DAR ES SALAAM TENA

hii ndiyo inayitendea dar haki. sio ile ya kwanza.
lakini tatizo la haya majiji ni kua ukiyaona kwa picha kama hivi yanavutia ila sasa unapokua
live nd utakoma na hua uswaz.
 
mitaa ya posta mpya kitu kipya kinakuja kinaitwa elite tower, kama kawa enjoy


kariakoo na mnazi mmoja zimeaa sihani kama kuna ujenzi utaendelea, nadhani watahamia magomeni na manzese
 
hii ndiyo inayitendea dar haki. sio ile ya kwanza.
lakini tatizo la haya majiji ni kua ukiyaona kwa picha kama hivi yanavutia ila sasa unapokua
live nd utakoma na hua uswaz.

nakualiana na wewe, 100%
 
Mkuu asante sana for nice pics, dah Mji wa Nairobi bana upo bomba ile mbayaaaa kinachovtia sana pale ni usafi na mpangilio wa mji kwa ujumla hasa DOWN TOWN imetulia ile mbaya.

Kinachofurahisha zaidi ni utaratibu wa daladala zao / MATATU kuna daladal maalumu zinaitwa SHUTLE hizo hupanda watu kwa utaratibu wa kukaa foleni na hakuna usumbufu zamu yako ikifika unaingia unakaa.

NB: Nahisi hulipa nauli kwa mwezi kama ktk miji mikubwa ya Ulaya . It very nice system niliipenda sana hata bongo tungekuwa nayo ingekuwa poa sana

Mwisho mji wa Nairobi kwa totoz lol hapo usiseme, wengi wao wamejaaliwa mizigo ya maana huko nyuma!
 


kama kawa mkuu, bongo pia tunatakiwa tujifunze, ila DART (DAR ES SALAAM RAPID TRANSIT) ikikamilika kutakua na ustaarabu kidogo nadhani watu watatakiwa kununua ticket za mwezi pia, cheki maendeleo ya miundombinu ya mabasi yaendayo kasi jijini dar e s salaam hapahttp://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1191319&page=2 , kuna page mbili unaweza kucklicjk back kuangalia toka mwanzo

 
ila kwa uchafu dar haiko nyuma. Dar ni ya 12 katika world ranking of dirtiest cities in the world.
Hilo nalo unazungumziaje?
 
nairobi again at night
Skyline view at night!





 
NAIROBI WITHOUT UPPER HILL AND WESTLAND

THE GREEN NAIROBI

DOWN TOWN NAIROBI


DAR ES SALAAM

FROM ANOTHER ANGLE

THE RISING DAR ES SALAAM


KAMPALA



Dar es Salaam

Nairobi
[/QUOTE]

bujumbura



Commercials:


kigali kigali ipo kwenye milima ni vigumu kupata picha ya jiji zima
[/url]


kampala pia iko kwenye milima


DAR ES SALAAM TENA


Dar es salaam - mitaa ya posta mpya kitu kipya kinakuja kinaitwa elite tower, kama kawa enjoy


kariakoo na mnazi mmoja zimeaa sihani kama kuna ujenzi utaendelea, nadhani watahamia magomeni na manzese

Dar es salaam - MIPINI MIKALI MINGI YA BONGO BADO HAIJAKAMILIKA, PATAKUA NA MIPINI YA KUFA MTU KATIKATI YA JIJI SIKILIZIA



NA HUKU KWA WAKURUNGENGE NAKO SI HABA



jiji la Dar



__________________
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…