Majiji ya afrika mashariki

Majiji ya afrika mashariki

NDINDA

Platinum Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
10,733
Reaction score
49,598
NAIROBI WITHOUT UPPER HILL AND WESTLAND
5573097333_2dda472100_b.jpg

THE GREEN NAIROBI
94099169_aaddbb5791_o.jpg

DOWN TOWN NAIROBI
P9275332.jpg


DAR ES SALAAM
daressalaamskyline.jpg

FROM ANOTHER ANGLE
dartza.jpg

THE RISING DAR ES SALAAM
thechangingdarskyline.jpg


KAMPALA
5618942124_0e8a7322a9_z.jpg

5454831232_9e4761e312.jpg
 
Thanks wengine hatujui hata majiji yetu yanafananiaje?
 
Dar ina safari ndefu kuifikia nrb
 
Dar es Salaam
48299164.jpg

Nairobi
5655135052_1350fa5a82_b.jpg
[/QUOTE]

bujumbura
17248935.jpg

23365823.jpg

23366748.jpg

Commercials:
36089803.jpg


kigali kigali ipo kwenye milima ni vigumu kupata picha ya jiji zima
dscn0212.jpg
[/url]
IMG_0200.jpg


kampala pia iko kwenye milima
5618942124_0e8a7322a9_z.jpg
 
PS nairobi ina majengo mengi ya zamani kuanzia miaka ya 70 na 80 katikati ya jiji, ila inapanuka kwa nje maeneo ya upperhill na westland, DAR inanyanyua vitu vipya na modern katikati ya jiji, pia upanga vitu vinachomoza kama kawa, usisahau kijitonyama na south beach kuna vitu vya kufa mtu, hivyo majiji yote mawili yana maeneo tofauti ya kushindania, nairobi inafanay juhudi kuangamiza makazi kama ya kibera dar bado hawajaanza vizuri, pia miundombinu, nairobi ishakua na barabra za juu underpass overpass, ingawa ni km 12 au zaidi ila dar bado hatujaaza, dar imeanza na mradi utakaowapa wakazi wake usafiri wa kisasa zaidi wa mabasi yaendayo kasi , nairobi bado hawjaanza ila kuna tetesi wnataka train za mijini, hivyo basi , wote wanakimbizana, na kuna upande una majigambo na upande mwingine umekaa kimya unafanay mambo ya kufa mtu, teh teh, nadhani mnaelewa, hata hivyo kigali anakuja kwa kasi vilevile, ila bado anatembelea kichwa, mambo yakienda vizuri kama alivyopanga anaanza kuwakimbiza dar na nairobi muda si muda, kampala kama kawa nayo haipo nyumab, yaani ni kivumbi kitupu, tusubiri tuone kama miradiyote wanaliyopanga itatekelezeka haopo ndo tutaona nani anaongea tuuu, na nani yupo serious anapiga mzigo, kwa sasa ngoja nilala maana ishakua usiku hapa.
 
Back
Top Bottom