Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,126
- 11,364
Bado sana, mpaka itakapo ifikia dar kimapatoArusha
Arusha ni jiji dogo sana,ila linajitahidi.Arusha
NdioKwahiyo na wewe unakubali kuwa Kampala ipo juu ya;
Addis Ababa
Marrakesh na
Abuja
Sawa endelea kuamini.Ndio
Kwahiyo na wewe unakubali kuwa Kampala ipo juu ya;
Addis Ababa
Marrakesh na
Abuja
Sijui hizo amezitoa wapiNa bado ngazi moja kuifikia dar wakati shilingi mia ya tz unanunua kiwanja city center kampala.