Hahaaaaa, unanichekesha sana, KUJIAMINI ndio mpango mzima, kwa nini uwe na hofu? Lazima uringe kwa kuwa unajikubali. Sasa kizazi hiki cha enzi ya chadema ndio hatari maana mtoto mdogo ameshajua nguvu iliyo ndani yake hakuna UOGA wala udhaifu, Arusha ni baraka sana kuzaliwa au kuishi hapa.