Wosia kutoka wazazi pande zote mbili
Bwanaharuc: unaona mwanangu hana hata kovu lolote, asije akajakutusalimu na makovu. Alikuwa anakula na kushiba,
amelelewa katika maadili mema na ya kumcha mungu. familia yenu impe mungu/mola nafasi
Bi haruc: karibu kwetu, tunafurahi kuongeza familia
mwenetu amelelewa katika maadili ya kumcha mungu, ya heshima, hakuwahi hata siku moja kutenda tofauti na malezi aliyolelewa
there is a lot of information asymmetry between the families and btn maharuc
Baada ya Haruc
Matusi, Kejeli
.Dharau
..no ibada/wala sala
Why????????????????????????