Majibu ya utata

Majibu ya utata

Habarin ndugu, naombeni ushauri jaman mimi mwezi uliopita nilichangia damu kwa hiari katika shule moja Leo nimeletewa majibu kama ifuatavyo
HIV-POSITIVE
VDRL- NEGATIVE
HBV -GREY ZONE
HCV -NEGATIVE
Nikijiangalia sina dalili zozote za hayo magonjwa.Nikamwomba mtoa majibu turudie kupima cha ajabu majibu yote yakaja negative sasa had sasa nimechanganyikiwabsijui hata niyaamini majibu yapi maana naskiaga kuwa damu salama huwa wanatumia mashine ambazo ni advanced kuliko vipimo vya hospital(rapid test).

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah kumbe nauko kunamgongano eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitoa damu mara moja tu mwaka jana pale damu salama kisa mama yangu alikua anafanyiwa operation wakaniambia nirudi baada ya wiki mbili... Nani arudi na nani anataka kufa kwa mawazo, nilimwambia yule dada hayo majibu yakitoka hata asihangaike nayo ayachome moto tu maana siyahitaji... Mimi ukimwi nilipima miaka sita iliyopita tena kwa mbiiiiinde sababu wife alikua mjamzito wakanifosi tupime wote nilipojishaua kumpeleka clinic hadi nikajuta kwanini nimejipendekeza kwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una mkosi gani hadi huo utata utokeege kwako tu? Mimi nimepima zaidi ya Mara mia na sijawahi ona huo utata. Nadhani kwako kuna tatizo mzee baba. Nakushauri kapime kipimo cha [ESR TEST FOR HIV] wakikukosa YA MUNGU.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Wewe una mkosi gani hadi huo utata utokeege kwako tu? Mimi nimepima zaidi ya Mara mia na sijawahi ona huo utata. Nadhani kwako kuna tatizo mzee baba. Nakushauri kapime kipimo cha [ESR TEST FOR HIV] wakikukosa YA MUNGU.


Sent from my iPad using JamiiForums
Kwan ESR ni kwaajili ya HIV??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom