Majibu ya mume

Usimfundishe mbwa mzee mbinu za kisasa! Naona huyo mwanaume yupo sahihi kujibu vile kwa sababu ndo tabia yake tangu zamani na kama ndo mwanamke kajifungua asitegemee mwanaume kuacha michepuko

Kazi kweli kweli na kweli itakua ndo tabia yake maana hayo majibubkwa aliyestaarabika hawezi jibu hivo..
 
Kwa hiyo kama tone ni mbaya ndo asijibiwe kabisa? Hehehe siku huyo mwanaume atakuwa na maswali kama hayo ataenda kununua tone ya muziki kutoka fodakomu ndo aulizie nayo kupata majibu wallah. What comes around goes around. Same way what goes around does
Uliuliza maswali gani mpaka ujibiwe hivi??!!!
Kwa tone gani??!!
Facial expression??!!
Mkiwa wapi katika hali gani??!!
 
Hamn ndoa hapo kuna maigizo
na wote hawajielewi
 
Mwanaume mpumbavu hujibu hivyo maana:-

1. mke hana ex alomjua kabla ya mume?????

2. kama anadhani yeye na mkewe wamekutana ujubwani hAtumii akili kujua utotoni/kwenye usichana mke kuna "alojuana nao"???

3. Anadhani mkewe hana tabia ya zamani????

5. Hamyulizi kwa sabab7 mke hajachepuka

Sorry sijajibu swali

Ila jeuri mwenzie kusudi
 
Kikubwa binti kwa kuwa ameshatambua tabia za mume wake, afanye wajibu wake kama mwanamke katika ndoa atenge muda wa kuiombea familia yake na ndoa yake aache tabia ya kumfatilia awe na amani na moyo wa uvumilivu asimuulize kitu isipokuwa maswala ya familia yake azungumze na mume wake.
 
Usimfundishe mbwa mzee mbinu za kisasa! Naona huyo mwanaume yupo sahihi kujibu vile kwa sababu ndo tabia yake tangu zamani na kama ndo mwanamke kajifungua asitegemee mwanaume kuacha michepuko

Wakiamabiwa tabia za wenza wao before marriage huwa wanasema naolewa nae atabadirika.tu!
 
Uliuliza maswali gani mpaka ujibiwe hivi??!!!
Kwa tone gani??!!
Facial expression??!!
Mkiwa wapi katika hali gani??!!

Mmmhhh
Kaka kwamba kwa suala hili uulize kwa upole?
Ndo maana anajibiw hivyo...
Upole unamponza
 
Mwenzenu .... Hizi habari za wanaume walio katika ndoa kuchepuka zinanichosha kabisa roho, nafsi na mwili.
 
Pole sana! Usijali atabadilika!
 
Mwanamke asiongeee naye kwa simu bali aongee naye face to face,na kama ana ushahidi ampe facts zote kisha ampe msimamo wake na jinsi asivyopendezwa na jambo hilo,kisha aachane naye asimuulize tena ampe huduma zote stahiki bila kinyongo,kisha apige maombi amuombee mumewe aombe Mungu aingilie ndoa yake na alete machafuko ya kimawasiliano na hao hawara zake,Mungu ni mwema atamvusha.
 
Mwenzenu .... Hizi habari za wanaume walio katika ndoa kuchepuka zinanichosha kabisa roho, nafsi na mwili.

My dear even me too , hauko peke yako. Watu hawaelewi au wabishi to know that Marriage is a calling and service from God, just when you are a Pastor, Prophets, Shekhe, Imam na kadhalika . if you enter in the marriage you must know that this is your calling from God and do as God wants you to do. But now these days , ndoa ni fashion kila MTU anavaa , fashion hii ikiisha inaenda kutafutwa nyingine. Mungu awasaidie walio ndoani na kuwagusa waweze kujua wito wao mungu aliowaitia, amen. Thanks.
 
hapo ndipo kansa ya ndoa inapoanza na kuiponya ni ngumu mno
uaminifu unapotea na kuishi kwa mashaka mengi jaribu kuwa na tgood communication na mpenzi wako kuondoa hizi shida duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…