Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 993
- Thread starter
- #21
Ubarikiwe pia mkuu wanguKaka naendelea bado kuzifuatilia changizi zako humu jamvini, naelekea kukamilisha uchunguzi wangu. Ila kiufupi we una roho nzuri sana. Very humble man, down to earth. Kwa kweli ubarikiwe sana.