Majibu ya mchujo wa NCAA

Majibu ya mchujo wa NCAA

Mediocrist

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
1,709
Reaction score
993
Habari za usiku wakuu! Kwa wale walofanya mitihani kwa nafasi mbalimbali mnamo tar 3,February,2018 maeneo ya chuo cha Uhasibu Arusha IAA matokeo tayari hayo hapo chini nimeyaweka au unaweza tembelea website ya UTUMISHI kuyaona.
Kila la kheri mlopita na ungwe nyingine na kwa ambao hamjapita huu ni mwanzo bado safari ya mapambano iendelee pia sio mwisho wa maisha kwa kila jambo huja na sababu yake.
 
Attachments

9CB99B35-60C3-4A7B-A2EB-744FAC53EA6F.png

Mmhh inakuaje hapa, nini tatizo!!!
 
mmmmh..yani hawa wametaga kweli?? wenye hizi no hampo humu??
Yaani nina mashaka na selection wanazo fanya, pengine wale walio nyimwa hata hii written wangefanya vizuri, na wakiwepo haawezi kutaja, kutaga mchezo nini?!

Kila kada ina mayai ya kutosha🙁🙁
 
na subiria za cabin crew ATCL ziki zingua nazo ndo basii2
 
Habari za usiku wakuu! Kwa wale walofanya mitihani kwa nafasi mbalimbali mnamo tar 3,February,2018 maeneo ya chuo cha Uhasibu Arusha IAA matokeo tayari hayo hapo chini nimeyaweka au unaweza tembelea website ya UTUMISHI kuyaona.
Kila la kheri mlopita na ungwe nyingine na kwa ambao hamjapita huu ni mwanzo bado safari ya mapambano iendelee pia sio mwisho wa maisha kwa kila jambo huja na sababu yake.
Kaka naendelea bado kuzifuatilia changizi zako humu jamvini, naelekea kukamilisha uchunguzi wangu. Ila kiufupi we una roho nzuri sana. Very humble man, down to earth. Kwa kweli ubarikiwe sana.
 
Back
Top Bottom