Majibu ya maswali haya please: LAN internet,ethernet

Coax inatumika kama UTP kuunganisha networking devices kuna network cards zinakuja na port ya coax, hii inaitwa Ethernet Over Coax. Sema hii technology mostly imepitwa na wakati tangu miaka ya 80-90 hivyo sio rahisi kuiona wana kukuta kifaa kipya chenye port ya namna hiyo.

I got you brother, maana sijawahi ona PCI card ya coaxial even port ya coaxial katika PC
 
very interesting, ni vifaa gani vinavyohitajika hapo
ymollel

kuna card ambayo badala ya kupokea ethernet inapokea coaxial. na connector yake inaitwa BNC ( Bioneil Concelman connector sikumbuki vizuri hilo jina spelling zake)

hii ni technology iliyovuma miaka ya nyuma ila imepoteza umaarufu kwa kiasi fulani kutokana na kwamba coaxial cable is subjected to interference na pia inahitaji kuwa na signal booster kila baada ya umbali kama mita 100.

hivyo basi technology hii imebaki zaidi kwenye mambo ya cable TV.

kama umewahi kuchunguza cable tv huwa zinakuwa na booster kila baada ya nguzo kadhaa
 
Last edited by a moderator:

umesomeka mkuu shukran
 
Back
Top Bottom