Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
Akili ndogo mamlaka makubwa!Ukisikia kuwa Tanzania tumekuwa hapa kutokana na wasomi wetu hata usishangae mkuu... EDO anakuambia kuwa siku hizi hatuwaogopi
Mi nahisi tatizo s akili ndogo nadhani mfumo wa Elimu yetu hauwasaidii hata hao wanaojiita madokta, pengine wanapimwa kwa akili za kwenye vyeti kuliko Busara, weledi, uelewa na kujua mambo kwa mapana zaidiAkili ndogo mamlaka makubwa!
Mkuu, labda akili ni upungufu wa neno linalofaa la Kiswahili. Kuna watu wanaweza wakawa wamesoma sana, lakini bado akili ni ndogo tu. Kwa hiyo nikisema akili ndogo sina maana elimu ndogo.Mi nahisi tatizo s akili ndogo nadhani mfumo wa Elimu yetu hauwasaidii hata hao wanaojiita madokta, pengine wanapimwa kwa akili za kwenye vyeti kuliko Busara, weledi, uelewa na kujua mambo kwa mapana zaidi
Lakini mambo ya Ndani watasema wao walikuwa wakifuata Katiba inasema nini. Ila wamesahau kwamba katika awamu ya tano kufuata Katiba sio jambo muhimu.Lazima awe mkali maana mambo ya ndani ndio waliomuingiza cha kike kwa ile barua ya awali.
Duh alinifusha CH117 UDSM amekaa kikukomoa sana huyu baba.NImesoma kwenye gazeti la Mwananchi na kushitushwa sana na majibu ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, DR Leonard Akwilapo, kwa mwandishi wa habari wa Mwananchi pale alipoomba apewe ufafanuzi kuhusu matumizi ya wimbo na bendera ya Taifa. Angalia hapa chini taarifa kutoka Mwananchi;
View attachment 966788
Sasa hebu niambieni wana JF na jamii kwa ujumla, hivi haya ni majibu ya mtu anayetakiwa kuwa na busara kwa kiwango cha PhD na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu? Je tunahitaji kumwelimisha Dr. Akwilapo kazi ya vyombo vya habari hapa nchini ni nini, kwamba ni pamoja na kusaidia kufikisha ujumbe wa serikali kwa wananchi? Sasa kama mwandishi wa habari anaomba ufafanuzi ili asaidie kufikisha ujumbe kw wananchi, kwa nini Katibu Mkuu ajbu kwa kiburi namna hii?
Nadhani Dr. Akwilapo anahitaji kukumbushwa kwamba yupo katika nafasi kwa kusudi la kuhudumia wananchi, na wananchi hao ni pamoja na waandishi wa habari.
Ndugu hakuna busara ya kiwango cha PhD. Umeitoa wapi hii?NImesoma kwenye gazeti la Mwananchi na kushitushwa sana na majibu ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, DR Leonard Akwilapo, kwa mwandishi wa habari wa Mwananchi pale alipoomba apewe ufafanuzi kuhusu matumizi ya wimbo na bendera ya Taifa. Angalia hapa chini taarifa kutoka Mwananchi;
View attachment 966788
Sasa hebu niambieni wana JF na jamii kwa ujumla, hivi haya ni majibu ya mtu anayetakiwa kuwa na busara kwa kiwango cha PhD na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu? Je tunahitaji kumwelimisha Dr. Akwilapo kazi ya vyombo vya habari hapa nchini ni nini, kwamba ni pamoja na kusaidia kufikisha ujumbe wa serikali kwa wananchi? Sasa kama mwandishi wa habari anaomba ufafanuzi ili asaidie kufikisha ujumbe kw wananchi, kwa nini Katibu Mkuu ajbu kwa kiburi namna hii?
Nadhani Dr. Akwilapo anahitaji kukumbushwa kwamba yupo katika nafasi kwa kusudi la kuhudumia wananchi, na wananchi hao ni pamoja na waandishi wa habari.
Baadhi ya viongozi hawana akili kabisa walipata bahati tu ya kupewa cheo bila kutarajia ila mwisho wao sio mzuriNImesoma kwenye gazeti la Mwananchi na kushitushwa sana na majibu ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, DR Leonard Akwilapo, kwa mwandishi wa habari wa Mwananchi pale alipoomba apewe ufafanuzi kuhusu matumizi ya wimbo na bendera ya Taifa. Angalia hapa chini taarifa kutoka Mwananchi;
View attachment 966788
Sasa hebu niambieni wana JF na jamii kwa ujumla, hivi haya ni majibu ya mtu anayetakiwa kuwa na busara kwa kiwango cha PhD na Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu? Je tunahitaji kumwelimisha Dr. Akwilapo kazi ya vyombo vya habari hapa nchini ni nini, kwamba ni pamoja na kusaidia kufikisha ujumbe wa serikali kwa wananchi? Sasa kama mwandishi wa habari anaomba ufafanuzi ili asaidie kufikisha ujumbe kw wananchi, kwa nini Katibu Mkuu ajbu kwa kiburi namna hii?
Nadhani Dr. Akwilapo anahitaji kukumbushwa kwamba yupo katika nafasi kwa kusudi la kuhudumia wananchi, na wananchi hao ni pamoja na waandishi wa habari.
Hapana. Nilichomaanisha ni kwamba ukifikia elimu ya PhD dunia inategemea kuwa una busara ya kupita wastani, kutokana na exposure yako.Ndugu hakuna busara ya kiwango cha PhD. Umeitoa wapi hii?
Au zile sura za mikausho mikali, kwamba nimesoma kwenye mazingira magumu sana huwezi kuja kufaulu somo langu kirahisi rahisi tu!Duh alinifusha CH117 UDSM amekaa kikukomoa sana huyu baba.
Wakomoaji wamejikusanya awamu hii, kukomoa wananchi.Duh alinifusha CH117 UDSM amekaa kikukomoa sana huyu baba.
Angalizo watu wasidhani kuwa Katibu mkuu mtu atakuwa na uelewa wa anachofanya/simamia....arogance alioonesha ilikuwa makusudi kwa lengo la kuficha level yake ya weledi.NImesoma kwenye gazeti la Mwananchi na kushitushwa sana na majibu ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, DR Leonard Akwilapo, kwa mwandishi wa habari wa Mwananchi pale alipoomba apewe ufafanuzi kuhusu matumizi ya wimbo na bendera ya Taifa. Angalia hapa chini taarifa kutoka Mwananchi;