kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,415
- 9,302
anasema mtoto wangu
Kwanini ulipima DNA kipindi cha nyuma je kulikuwa na mgogoro wowote?
anasema mtoto wangu
Kwanini ulipima DNA kipindi cha nyuma je kulikuwa na mgogoro wowote?
kaka yani soo nilikuwa nifungwe nilishammwagia maji ya motoAnachotaka huyo jamaa ni kuvunja ndoa na huyu bwana ili aendelee kumega mke wake.kazua jambo ili mwenye mke apanik na kuamua kuvunja ndoa.hapa pia nina shaka na mwanamke na nina shaka na maamuzi ya mwenye mke,haiwezekani mke ni wako ndani afu jamaa mwingine huko atokako na kusema mtoto wako ni wake,aisee ndugu tungekua tunaazimana roho ningekupa umfundishe mtu adabu
Hongera kwa kuishi na mkeo kwa mashaka.kupima DNA siku hizi ni jambo la lazima sio la kusubiri mpak migogoro..
Yeah, inawezekana huyu sabudi anatunga hizi stori za DNA. Yaani ulikataa kupima DNA kuthibitisha baba yako halisi, halafu uje kupima DNA mara tatu kuthibitisha mtoto wako?
MZEE WA DNA ......TENA!!!!!!!!!!!!!!!...DNA THING AGAIN
Nimemkataa baba mzazi, na sitaki kupima DNA
Started by sabudi, 17th November 2014 09:16
Nimepima DNA (kwa mkemia mkuu) ya mtoto mara 3 ili kuwa na uhakika zaidi na mara zote majibu yameleta kuwa mimi ni baba halisi wa mtoto kwa asilimia zote mia.
Baada ya miaka 7 kumetokea mwanaume anasema yule ni mtoto wake na tumejaribu kulizungumza suala hili kwa ushahidi wa vipimo vya awali vya DNA bila mafanikio na yeye analazimisha kufanya kipimo cha DNA tena upya. Inavyoonekana ana uhakika mkubwa wa suala hili kiasi cha kunipa mawazo mengi.
Maswali ninayojiuliza ni kwamba,
1. Je ikitokea kipimo cha mara hii kikaonyesha mtoto ni wake, naweza kudai fidia kwa mkemia mkuu kwa kunipa majibu ya uongo mara zote tatu za mwanzo?
2. Je ikionekana mtoto sio wangu naweza kudai fidia kwa mke wangu aliyesaliti ndoa bila kunieleza ukweli kuhusu mtoto?
3. Ikioneka mtoto sio wangu naweza kuachana na majibu ya sasa na kuendelea kuamini majibu yale ya mara zote za mwanzo yaliyosema mimi ni baba halisi?
4. Je naweza kumfungulia mashitaka huyu mwanaume kwa kutembea na mke wangu na kumpa ujauzito kama ni kweli ni mtoto wake?