nimepima DNA (kwa mkemia mkuu) ya mtoto mara 3 ili kuwa na uhakika zaidi...na mara zote majibu yameleta kuwa mimi ni baba halisi wa mtoto kwa asilimia zote mia.
baada ya miaka 7 kumetokea mwanaume anasema yule ni mtoto wake na tumejaribu kulizungumza suala hili kwa ushahidi wa vipimo vya awali vya DNA bila mafanikio na yeye analazimisha kufanya kipimo cha DNA tena upya. inavyoonekana ana uhakika mkubwa wa suala hili kiasi cha kunipa mawazo mengi.
maswali ninayojiuliza ni kwamba,
1 je ikitokea kipimo cha mara hii kikaonyesha mtoto ni wake, naweza kudai fidia kwa mkemia mkuu kwa kunipa majibu ya uongo mara zote tatu za mwanzo?
2. je ikionekana mtoto sio wangu naweza kudai fidia kwa mke wangu aliyesaliti ndoa bila kunieleza ukweli kuhusu mtoto?
3. ikioneka mtoto sio wangu naweza kuachana na majibu ya sasa na kuendelea kuamini majibu yale ya mara zote za mwanzo yaliyosema mimi ni baba halisi?
4 je naweza kumfungulia mashitaka huyu mwanaume kwa kutembea na mke wangu na kumpa ujauzito kama ni kweli ni mtoto wake?
All are possible! I do not think DNA test has false positives/negatives as it is believed that there is no 100% coincidental DNA profile matches between different people!

Mimi nina miaka 38 sasa, msomi wa elimu ya juu na nina kazi nzuri pia, nilikuwa naishi vizuri na wazazi wangu wawili I mean baba na mama, sasa hapa juzi baada ya ugomvi, mama ameondoka nyumbani na kuniambia eti baba nilienae sio baba yangu biological na baada ya kikao kirefu nimeonyeshwa baba mwingine wanaomsema ndio baba biological ila mbele ya watu wote nilimkana na kumwambia asinijue kabisa na wala sitaki kuharibiwa maisha yangu.
Mimi nina baba yangu ambae amenilea na ndio naamini ni baba halisi kwangu, sasa wanakazania DNA mimi nikasema sitaki chochote na nisiingizwe kwenye ugomvi wa wazazi wangu na ninampenda sana baba yangu alienilea kwasababu amenisomesha shule za gharama na amenitembeza duniani na kunipa kila nilichotaka mpaka hapa nilipo namwona kama mtu namba moja muhimu kwangu hapa duniani.
Je waungwana nilichofanya ni makosa?
Mkeo mwenyewe afu upime dna mara tatu!!!!!!!!!!
Ungejibu kwa vipengele mkuu kama alivyo uliza maana naona nina vitu vya kujifunza pia hapa.
All are possible! I do not think DNA test has false positives/negatives as it is believed that there is no 100% coincidental DNA profile matches between different people!
Mkeo ukimuuliza mtoto Ni Wa nani aNaSemaje?
anasema mtoto wangu
DNA zinaonyesha ukweli ila wanaozitumia hawasemi ukweli maana wanaweza kusababisha ugovi mkubwa kifamilia hivyo ulazimika kudanganya.
MKUU majibu yalinipa 99.99 percent ila nimeamua kuandika 100 asilimia kwasababu ni kama sawa tu..embu nijibu vizuri unipe ushauri mkuu unaweza nisaidia kitu mkubwa