Majibu rasmi ya Mwanakijiji kwa Waziri Mkuu

Whaaaaaaaaaaat, there is nothing like achana na TZ that's the dumbest advice I've ever seen hivi watz tutakuwa waoga mpaka lini? ndio maana tunanyanyaswa na kunyimwa haki za msingi na watz wenzetu in the name of leaders! Its a shame how someone can see the only option is to keep quiet and let the country being exploited by few people who are greedy! its painful what is going on in Tz and its irritating when some people don't even try to seek for changes instead they even dissappoint good people like mwanakijiji! Bro, keep up the good work and you know what... act like a DEAF to those kind of advice, no one will do a thing to you, just let them know they suck and they need to quit!
 
no one will do a thing to you,

Kaka acha kumdanganya mwenzio. Cha kumshauri ni kuwa mafanikio hayaji kirahisi. Kama amejitolea kwa dhati na sio katika masuala ya kupanda ngazi basi vilevile awe tayari kuwa kafara. Awe tayari kukubali lolote litakalomtokea kwani ndivyo mbegu za ukombozi zinavyooteshwa na kustawishwa kwa manufaa ya kizazi chake na kijacho.

TAnzanianjema
 
Nilikuwa napitapita kupata "zilipendwa" kidogo,mara nikakutana na maoni/ushauri kama huo hapo juu!Nikajikuta nikijiambia mwenyewe kuwa kwakweli si kuwa tumetoka mbali tu,bali pia tuendako ni mbali...
Nikaikumbuka pia "ndege inayopaa" iliyochorwa na kipanya wakati ule....
 
Nilikuwa napitapita kupata "zilipendwa" kidogo,mara nikakutana na maoni/ushauri kama huo hapo juu!Nikajikuta nikijiambia mwenyewe kuwa kwakweli si kuwa tumetoka mbali tu,bali pia tuendako ni mbali...
Nikaikumbuka pia "ndege inayopaa" iliyochorwa na kipanya wakati ule....

duh.. watu mnakumbukumbu.. ila mchoraji alikuwa ni bwana mdogo Said Michael..
 
hivi mara ngapi wanataja hilo jina la "mwanakijiji".. naanza kuogopa.

Comrade unataka kuanza kuogopa nini?? kwani huoni hapo imetolewa tar ngapi na mwaka upi?? ukipata jibu jaribu kuvuta kumbukumbu zako kuwa wakati huo waziri mkuu alikuwa nani?? ukipata jibu basi ni rahisi sana kwako kutoingiwa na hofu maana huyo ambaye ofisi yake imetoa statement hiyo ndo yule aliyekuwa anawaongopea wananchi kuwa yeye ni mtendaji bora kumbe ni fisadi wa kutupa, amechukua pesa zetu nyingi sana hastahili hata kuendelea kuingia kwenye ukumbi wa bunge kwa madudu aliyoyafanya... keep on moooving comrade usimwogope mtu kwenye ukweli we twanga tu
 
Back
Top Bottom