Nna wasi wasi na iyo msg mbona imeandikwa andikwa kama na check bob fulani eti”kampn, kumbkmb” ndio vitu gani hivyo... ata kama nitakuwa nataka kubet, sitacheza.nimeiona mahali hii na kwa sababu kule haikufika hebu tuifikishe kupitia huku
View attachment 705637