Haiwezekani mtu nayetoka dsm to swanga daily alipe road license kama anayezunguka toka posta mpaka ubungo kisa magari yana ukubwa sawa wa engine! Pay As You Earn, ndio hii kodi mpya!Basi/daladala linafanya biashara 24 hrs litalipaje road license na sawa na basi/daladala linalotembea masaa 8?? Big up Mpango hii ni kodi fair kuliko zote kuwahi kutokea