MAJIBU: Kwanini CUF/UKAWA wanashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Dimani, Zanzibar?

Vyama vyote vya siasa duniani lengo kuu ni kushika madaraka kama huo unauita ni ulafi nakubaliana na wewe kwamba ccm wana ulafi wa madaraka.
Ulafi kwa maana hata ikiwa hutakiwi unekataliwa utaunda vikundi mazombi na nk ili lazima ubaki na ndo ilivo fanya
 
Karume ni maoni yake binafsi. Tume ndicho chombo kinachosimamia ughaguzi na kutangaza matokeo yake. Nimekuambia kasoro zimejitokeza gradually hivyo ukimya ule ni wa kujaribu kusolve na seif akashindilia msumari wa moto kidondani.
Kuhusu kukamatwa nimekuambia hapo juu ni busara imetumika kutokana na historia ya kuchinjana ya znz kukamatana kungeleta balaa kubwa kwa sab hata seif alipaswa kukamatwa unadhani tension ingekuwaje seif angekamatwa? So ikaonekana the best decision ni kurudia uchaguzi hata kama ni gharama ni bora gharama ya pesa kuliko gharama ya damu.

Hahahahaaha mkuuu hhahahaha niruhusu nicheke eti busara?? Ccm wana busara hahahhahaahahahahahah dah nmesoma reply yako nmejikuta nacheka sana Teh Teh Teh ati ccm wana busara dah ntarudi baadae.
 
Ccm ina busara ya hali ya juu tokea kilivyokuwa chama pekee cha siasa mpk sasa kina ushindani
Alama kubwa ni amani na utulivu uliopo nchini.
 
Mkuu busara??
Mngeiba rambirambi za bukoba
Mngeiba chenji ya rada
Mngeiba pesa za Epa
Mngeiba pesa za escrow account
Mngevuruga mchakato wa katiba
Mngeiba kura ya chaguzi mbalimbali
Mngekandamiza demokrasia
Mngeachia majangili wamalize tembo wetu
Mngeua viwanda na uchumi wetu

Hivi hizo busara zipo wakati wa uchaguzi pekee kwanni msingetumia busara kwenye kushughulikia ufisadi wa kutisha na kuinua ucbumi wetu mmekalia siasa tu afu chikundi unakuja humu unatetea tu as if wwe ni mgeni nchi hii.... busara?? My foot unataka useme ccm inaweza muachia mpinzani ashinde hata kata kwa kuhofia machafuko??

Mtafute mzee nasor moyo moja ya waasisi wa CCM akwambie 2010 alivyotumwa kwenda kwa maalim kuwa ameambiwa na jk kwamba '"ccm wako tayari kwa lolote in case asipokubali matokeo yaliyopikwa na ZEC" ssa hapo busara zikwapi??? Mbona walitumia mabavu tu

Hata bunge la katiba mngekuw ana busara msingevuruga mchakato wa katiba ila kwa kuwa hamna maridhiano mkaona muuvuruge kwakuwa mlijiona wababe sana leo hii ndo unasema mna busara???
 
Busara ya ccm iko pale pale pamoja na mapungufu kadhaa yanayojitokeza kutoka kwa mtu mmoja mmoja ndani ya safu ya uongozi wa chama na serikali.

1.Maafa ya Kagera.
Pesa za mchango wa maafa zimewatibu mamia ya walioumia kuzika marehemu mungu awalaze mahali pema na kuwajengea miundombinu hasa shule. Hakuna pesa iliyopigwa kwa sab kupigwa maana yake ni kuibiwa na kupelekwa seh nyingine pesa ya maafa haijapelekwa uswiss wala uingereza iko hapa nchini inaendelea kujenga miundombinu.

2. Chenji ya rada
Ilirudi ikapelekwa kwenye elimu.

3. Escrow.
Escrow haikuwa pesa ya serikali
lakini waliojipatia kwa sab ya vyeo vyao walihojiwa na adhabu za kimaadili ya uongozi kutolewa. Kwa mfano Tibaijuka aliondolewa kwenye uwaziri. Mtunza ikulu aliachishwa kazi wengine walihojiwa kama chenge na wenzake.

4.Epa.
Epa kuna waliorudisha fedha kuna waliofungwa wakiwemo farijala, maranda, manase na mke wake na wengine.

5. Mchakato wa katiba
Kuhusu mchakato wa katiba sheria yake ilitungwa bungeni iliyoongoza namna ya kuunda bunge la katiba lijadili kabla ya kupigiwa kura ya maoni.
Bunge la katiba liliundwa likaanza kujadili na maana ya kujadili sio kupitisha kila kilichopo bali ni kukijazia nyama au kukipunguza kwa hoja na kupitishwa na wajumbe kwa kura hayo yalifanyika na katiba inayopendekezwa iko tayari kwa kupigiwa kura ya maoni.

6. Wizi wa kura
Hizo ni tuhuma ambazo zimefikishwa mahakamani na matokeo umeyaona yakiwemo ya Mh wassira vs Mh Bulaya.

7. Majangili.
Ujangili ni tatizo la kiuhalifu ambalo limeikumba afrika nzima sio tatizo la ccm lkn serikali imepambana nalo mpk sasa takwimu inaonyesha idadi ya tembo na faru inapanda japo sio kwa kasi ya kuridhisha na watuhumiwa wengi wa ujangili wamefungwa na kesi nyingi zipo mahakamani nchi nzima. Asilimia 40 ya kesi zote na wafungwa wote nchini wanatokana na kesi za ujangili ni mafanikio makubwa hayo.

8. Ccm imeua uchumi na viwanda.
Ni kweli utawala wa awamu ya kwanza ulijenga viwanda vingi ambavyo vilikufa kwa sababu mbali mbali. Lkn ile ilikuwa serikali ya ccm pia sasa unaposema imeua uchumi na viwanda jiulize ccm iliukuta uchumi na viwanda kutoka kwa wakoloni ikauua? Jibu lake hapana ccm yenyewe imejenga viwanda na ikaviua yenyewe imegundua imeteleza wapi na sasa imekuja na jitihada na maboresho kama yalivyoonekana kwenye tawala zilizopita hadi awamu ya tano ambayo kwa mwaka mmoja tu imeasisi,kujenga na kuvimalizia viwanda vikubwa vifuatavyo
A. Kiwanda cha juice-mkuranga
B Kiwanda cha viwatilifu- kibaha
C. Kiwanda cha mbolea -kilwa
D. Kiwanda vinywaji baridi-shy
E. Kiwanda cha tiles- mkuranga
F. Kiwanda cha chuma-mkuranga
N.k

Viwanda vyote hivyo viko ndani ya 20 bora afrika mashariki na kati cha tiles kikiwa namba moja
Kwahiyo ccm haijaua viwanda na uchumi kwani kwa report imf tz ni ya 5 afrika kwa kasi ukuaji wake wa uchumi afrika kuna nchi ngapi? Idadi hiyo viwanda ni kubwa sana ndani ya mwaka mmoja pekee kasi hiyo ikiendelea awamu ya tano inaweza kuwa na viwanda vikubwa visivyopungua 100.

9. Ccm inaua upinzani kwa kukandamiza demokrasia.
CCM inaheshimu upinzani na kukuza demokrasia kwa kuruhusu uhuru wa maoni wa mtu mmoja mmoja wanasiasa na vyama vyenyewe lkn popote duniani hakuna uhuru usio na mipaka kuna mbunge wa upinzani anatumikia kifungo kwa fujo zisizoisha kwa kujifunika mwavuli wa demokrasia amefungwa kifungo cha nne kwenye kesi saba alizokuwa nazo tokea mwaka 2014.
Na wengine wana kesi zinazohusiana na uvunjifu wa amani. Ccm bado inatunza amani ndio maana mahakama zinafanya kazi bila kujali sura ya mwanasiasa kazi inatufanya tuendelee kuwa kisiwa cha amani afrika na hata duniani.

Upinzani hauna msimamo hauna demokrasia ndani ya vyama vyake kumejaa migogoro udini ukabila ukanda chuki vurugu n.k hivyo wananchi wanaojitambua hawawezi kuwa upande wa upinzani mpk pale watakapobadilika na kuvutia wananchi wengi zaidi na ni kawaida kabisa kwa chama kimoja kulalamika kimeibiwa kura au kuonewa kila kinaposhindwa ili kisichekwe na wanachama wake.
Jitahidini kubadilika ipo siku mtatawala Tanzania na mkaendeleza yale mazuri ya ccm.
 
Mzee nasoro moyo amesema alichojisikia kusema hakina legitimacy yoyote.
 
JIBU: Naongelea wale wahuni wenu waliotengeneza account feki ili kupiga hela unawakumbuka??
Pia leteni audit report ya kamati yenu ya maafa mtueleze shingapi zimeshachangwa na ngapi zimewafikia wahanga kumbuka tulichangia wahanga sio serikali.... sasa serikali si ina kiengo cha maafa na inatengewa bajeti kila mwaka basi hizo pesa ndo wajenge miundombinu ila watanzania tulichangia wahanga na video zipo wakihojiwa na wengine kudai hawajapokea hta mche wa sabuni do u think its fair?? Hta basi wapunguziwe bei ya mabati bado mkajibu kwa kejeli eti watengeneze kiwanda chao?? Realy mtu aishi bila bati hadi kiwanda kijengwe then wwe unakuja kutetea hapa?? Anyway wanakagera watawaadhibu 2020 maana hta meli hamjawapelekea na 2017 ishafika......

2. Chenji ya rada
Ilirudi ikapelekwa kwenye elimu.
JIBU: hivi ina maana bila wazalendo kupiga kelele msingechukua hatua busara sio mpaka baada ya tukio hoja yangu ni kuwa kwann msitumie busara kuwa tukiibia wannachi wataendelea kuwa maskini mkawaacha kwanni busara hiyo isiwaongoze ili msiibie watanzania??? Niambie basi hta mtuhumiwa mmoja aliyewekwa jela?? Chenge mbona anadunda tu???
Hizo pesa zilirudi ushahidi unao?? Nipe mfano wa mradi uliotekelezwa kupitia hizo pesa mbona nado madai ya walimu yako palepale na maabara hakuna walal chooo hadi wazazi ndio wajeng?? Hayo mabilioni yalishia wapi??

JIBU: maazimio ya bunge yote mmetekeleza??
Maswi na muhongo mbona wamerudi?
Mlichukua hatua gani kwa tibaijuka na mafisadi wenzie au mliwahoji wakajibu hela ya mboga na nyie mkaacha waondoke tu??
Huo mkataba wa kifisadi na IPTL mliuvunja?
Kuna maazimio mengi hamkuyatekeleza mnaishia porojo jibu kwanza hizo hoja zangu hapo juu

JIBU: hahahahaa kwa hyo busara haikuwaambia kuwa tusiibe hela za wananchi?? Mkaiba na mkatumia kampeni za ccm 2005 afu leo hii unakuja kutetea hapa. Haya na hta mlipoumbuka kuwa mmekula hela hivi kweli mtu akiiba mabilioni anabembelezwa arudishe au hukamatwa??? R u sure pesa zote zilirudi?? Na mna ushahidi wa huko zilipopelekwa?? Au mliongea kimdomo tu afu mkazi retrench kwenda akaunti zenu binafsi?? Leta ushahidi sio maneno

Sitta alipewa wapi mamlaka ya kukusanya maoni wakati maoni yalishapokelewa na TMK?
Kwanni mlitembeza waraka wa siri kwa wabunge wenu ili wahakikishe mnapitisha rasimu yenu mlioiandaa pembeni?? Hamuoni hapo mliharibu bunge kwa kuingiza uchama hku mkijua ina madhara maana mkulu alijaza makada watupu bunge lile??
Pia mlihodhi mijadala mpaka kamati zte hta mlikataa kuwepo na taarifa kinzani kwa ufupi mlisababisha wapinzani watoke nje na mchalato ukaharibila hapo trust me 70% wanatala rasimu ya warioba.... mkiitisha kura ya maoni chini ya tume huru mtaadhibiwa

6. Wizi wa kura
Hizo ni tuhuma ambazo zimefikishwa mahakamani na matokeo umeyaona yakiwemo ya Mh wassira vs Mh Bulaya.
Leta tume huru sio porojo.... kwanni msingetumiea busara mnayodai mnayo mkaleta tune huru kma alivyoidai mnyika bunge la kabla ya bajeti mwaka 2015 ??
Kwanni mlipora haki zenji kula na huku bara??
Kule kyerwa mlitumia mpaka bunduki kumtangaza bashengwa hivi aibu hamuonagi kuendeleza wizi??

7. Majangili.
Ujangili ni tatizo la kiuhalifu ambalo limeikumba afrika nzima sio tatizo la ccm lkn serikali imepambana nalo mpk sasa takwimu inaonyesha idadi ya tembo na faru inapanda japo sio kwa kasi ya kuridhisha na watuhumiwa wengi wa ujangili wamefungwa na kesi nyingi zipo mahakamani nchi nzima. Asilimia 40 ya kesi zote na wafungwa wote nchini wanatokana na kesi za ujangili ni mafanikio makubwa hayo.
Tembo walikuwa 400,000 2005 leo hii unajua wako wangapi??? Hivi unajua kitakwimu hta akiongezea tembo mmoja inahesabika kuna ongezeko la tembo tanzania???
Kikwete alisema ana list ya wauza madawa ya kulevya na wauza meno je alichukua hatua gani?? Alikubali msaada wa helicopter huku list anayo??
Mtoto wa pirmohammed vipi?? Embu muache maigizo ccm na uje na data za uhakika sio mabadiliko ya % pekee

Unauhakika na hizo takwimu?? So ikiwa morocco ina 8.5 mwaka jana afu mwaka huu ina 8.4 haijakuwa si ndio ila tanzania ya 7% 2005 na sahivi 7 point something ndio umekua si ndio?? Mkuu statistics huwa sio reliable sana huwa haziakizi hali halisi ila wao huwa wanachagua indocators mfano human devoplment index inaangalia elimi na afya pekee so wakiona shule zimejengwa na wanafunzi wengi wameandikisha watasema easily tanznaia imeendelea bila kujua quality ya elimu ikoje?? Upo hapo??

JIBU:Sitta alipewa wapi mamlaka ya kukusanya maoni wakati maoni yalishapokelewa na TMK?
Kwanni mlitembeza waraka wa siri kwa wabunge wenu ili wahakikishe mnapitisha rasimu yenu mlioiandaa pembeni?? Hamuoni hapo mliharibu bunge kwa kuingiza uchama hku mkijua ina madhara maana mkulu alijaza makada watupu bunge lile??

Pia mlihodhi mijadala mpaka kamati zte hta mlikataa kuwepo na taarifa kinzani kwa ufupi mlisababisha wapinzani watoke nje na mchalato ukaharibila hapo trust me 70% wanatala rasimu ya warioba.... mkiitisha kura ya maoni chini ya tume huru mtaadhibiwa

6. Wizi wa kura
Hizo ni tuhuma ambazo zimefikishwa mahakamani na matokeo umeyaona yakiwemo ya Mh wassira vs Mh Bulaya.

JIBU
Leta tume huru sio porojo.... kwanni msingetumiea busara mnayodai mnayo mkaleta tune huru kma alivyoidai mnyika bunge la kabla ya bajeti mwaka 2015 ??

Kwanni mlipora haki zenji kula na huku bara??
Kule kyerwa mlitumia mpaka bunduki kumtangaza bashengwa hivi aibu hamuonagi kuendeleza wizi??

7. Majangili.
Ujangili ni tatizo la kiuhalifu ambalo limeikumba afrika nzima sio tatizo la ccm lkn serikali imepambana nalo mpk sasa takwimu inaonyesha idadi ya tembo na faru inapanda japo sio kwa kasi ya kuridhisha na watuhumiwa wengi wa ujangili wamefungwa na kesi nyingi zipo mahakamani nchi nzima. Asilimia 40 ya kesi zote na wafungwa wote nchini wanatokana na kesi za ujangili ni mafanikio makubwa hayo.

JIBU:
Tembo walikuwa 400,000 2005 leo hii unajua wako wangapi??? Hivi unajua kitakwimu hta akiongezea tembo mmoja inahesabika kuna ongezeko la tembo tanzania???

Kikwete alisema ana list ya wauza madawa ya kulevya na wauza meno je alichukua hatua gani?? Alikubali msaada wa helicopter huku list anayo??
Mtoto wa pirmohammed vipi?? Embu muache maigizo ccm na uje na data za uhakika sio mabadiliko ya % pekee

8. Ccm imeua uchumi na viwanda.
Ni kweli utawala wa awamu ya kwanza ulijenga viwanda vingi ambavyo vilikufa kwa sababu mbali mbali. Lkn ile ilikuwa serikali ya ccm pia sasa unaposema imeua uchumi na viwanda jiulize ccm iliukuta uchumi na viwanda kutoka kwa wakoloni ikauua? Jibu lake hapana ccm yenyewe imejenga viwanda na ikaviua yenyewe imegundua imeteleza wapi na sasa imekuja na jitihada na maboresho kama yalivyoonekana kwenye tawala zilizopita hadi awamu ya tano ambayo kwa mwaka mmoja tu imeasisi,kujenga na kuvimalizia viwanda vikubwa vifuatavyo
A. Kiwanda cha juice-mkuranga
B Kiwanda cha viwatilifu- kibaha
C. Kiwanda cha mbolea -kilwa
D. Kiwanda vinywaji baridi-shy
E. Kiwanda cha tiles- mkuranga
F. Kiwanda cha chuma-mkuranga
N.k

Viwanda vyote hivyo viko ndani ya 20 bora afrika mashariki na kati cha tiles kikiwa namba moja
Kwahiyo ccm haijaua viwanda na uchumi kwani kwa report imf tz ni ya 5 afrika kwa kasi ukuaji wake wa uchumi afrika kuna nchi ngapi? Idadi hiyo viwanda ni kubwa sana ndani ya mwaka mmoja pekee kasi hiyo ikiendelea awamu ya tano inaweza kuwa na viwanda vikubwa visivyopungua 100.
JIBU
Unauhakika na hizo takwimu?? So ikiwa morocco ina 8.5 mwaka jana afu mwaka huu ina 8.4 haijakuwa si ndio ila tanzania ya 7% 2005 na sahivi 7 point something ndio umekua si ndio?? Mkuu statistics huwa sio reliable sana huwa haziakizi hali halisi ila wao huwa wanachagua indocators mfano human devoplment index inaangalia elimi na afya pekee so wakiona shule zimejengwa na wanafunzi wengi wameandikisha watasema easily tanznaia imeendelea bila kujua quality ya elimu ikoje?? Upo hapo??

9. Ccm inaua upinzani kwa kukandamiza demokrasia.
CCM inaheshimu upinzani na kukuza demokrasia kwa kuruhusu uhuru wa maoni wa mtu mmoja mmoja wanasiasa na vyama vyenyewe lkn popote duniani hakuna uhuru usio na mipaka kuna mbunge wa upinzani anatumikia kifungo kwa fujo zisizoisha kwa kujifunika mwavuli wa demokrasia amefungwa kifungo cha nne kwenye kesi saba alizokuwa nazo tokea mwaka 2014.
Na wengine wana kesi zinazohusiana na uvunjifu wa amani. Ccm bado inatunza amani ndio maana mahakama zinafanya kazi bila kujali sura ya mwanasiasa kazi inatufanya tuendelee kuwa kisiwa cha amani afrika na hata duniani.

Upinzani hauna msimamo hauna demokrasia ndani ya vyama vyake kumejaa migogoro udini ukabila ukanda chuki vurugu n.k hivyo wananchi wanaojitambua hawawezi kuwa upande wa upinzani mpk pale watakapobadilika na kuvutia wananchi wengi zaidi na ni kawaida kabisa kwa chama kimoja kulalamika kimeibiwa kura au kuonewa kila kinaposhindwa ili kisichekwe na wanachama wake.
Jitahidini kubadilika ipo siku mtatawala Tanzania na mkaendeleza yale mazuri ya ccm.
 
Nilifikiri cuf ilishakufa kumbe inawapenzi wengi namna hii! Kilichopo ss hv mdai tume huru ya uchahuzi lakini mkiruhusu mwenyekiti ateuliwe na mtukufu mkubali mmeumia!
 
Mimi sio mtabiri nabii au mzee wa ndoto kama lema napenda kuongelea cha jana na cha leo sio cha kesho au imaginations.
Hapa hatuongelei ndoto au imagination utaongelea hoja ya Seif kujitangaza kama kigezo cha kufutiwa ushindi wake. Kanuni zinasema hivyo? kama zinasema hivyo na Lowasa angejitangaza kanuni hiyo hiyo ingetumika. La sivyo unaonyesha CCM wanendesha nchi bila kufuata sheria na taratibu ndio maana una argue haujui kama wangefuta uchaguzi au wangendelea kama ilivyo.
 
Back
Top Bottom